Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Sikwenda mzee,,huko story zao zinatisha Pakstan na Afghanistan kupitia njia ya kuanzia Karachi mpaka manzar el sharif sio mchezo.. Lakini watoto wa kinondoni wamejilipua sana kuleHahahaaa ulishaishi Somali, Lebanon, Syria na Sasa Pakistan Hadi kupata tenda...wewe mgonjwa kichwani
Hakuna mji unaitwa manzar er sharif..ni mazar..we mwongoSikwenda mzee,,huko story zao zinatisha Pakstan na Afghanistan kupitia njia ya kuanzia Karachi mpaka manzar el sharif sio mchezo.. Lakini watoto wa kinondoni wamejilipua sana kule
Unaitwa Mazar-i-Sharif kwa lugha ya Kidari.Na kwa lugha ya Kifarsi ni Manzar er sharif....Mkuu hutembei nini duniani??? Au unajua waafghan wana lugha moja tu???Hakuna mji unaitwa manzar er sharif..ni mazar..we mwongo
Tazama jela walizokuwa wanateswa Taliban na mabwana zenu 👇🏾Ingalikuwa ni topic yenye kueleweka wala hata nsingekuja kusema hivyo.
Sasa sioni haja ya kuendeleza mjadala na wewe kwani nimetilia shaka na uwezo wa akili yako kuchanganua, na kuchakata mambo.
Wewe unaweza endeleza mjadala na mtu asiye na akili ya kawaida mkuu
Safi sana.Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.
Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.
Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾
Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.
Huyu Bi Mkora anashangaza hajui kuwa hivyo vifaa vilitelekezwa na havikutekwa kwenye uwanja wa mapambanoKwamba Taliban walipamban wakashinda.
Acha udini ulio nao. Watu wanajua hyo story vizuri na nafkiri hata wewe unajua.
Acha kutudanganya hapa kisa wew ni mfia dini
Kweli kabisa, nimefa ta tafiti ndogo ya mtandaoni, nikakuta hiki:Nasikia kwa Sasa ndio wakulima wakuu wa miti ya cocaine duniani
Wakianza kumdunda Iran usiseme USA ndo anapigana , hamchelew maana nyiny ni ndumi la kuwili [emoji23] [emoji23] leo waliteka kesho mtasema USA aliacha makusudi ili vitumike kumdunda IranUpo huru. Tena vifaa siyo hivyo tu, January walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee [emoji1484]
Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo (combat) za jeshi la USA walizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.
Unajuwa hivi vidume havijawahi kutawaliwa.
Dini ililetwa kwa upanga , inajengaje undugu?Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?
Kama mnavyorudishia kwa kuvamia shule na kuchinja watoto huko naijeria sijui watoto waliwafanya nn ! au mlipovakia kitaya na kuchinja na kuchoma moto nyumba za raia sijui wale raia waliwafanya nnMuislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?
Hujambo binti yangu?.... unawasikiliza sana uongo wa USA kwa kutaka dunia iwaunge mkono?
Northen Alliance washirika wa marekani ndio deal zao hizo, Taliban wapo Against Opium na mara kibao wameban uzalishaji wake, japo nao wao kuna kipindi walikua wanashiriki kuuza.Nasikia kwa Sasa ndio wakulima wakuu wa miti ya cocaine duniani
Si wote ni dini ya mnyaanzi? Kama wanashiriki kwa vyovyote ,waliwahi kuja bongo na kuwaona mateja wanavyotesa familia zao?Northen Alliance washirika wa marekani ndio deal zao hizo, Taliban wapo Against Opium na mara kibao wameban uzalishaji wake, japo nao wao kuna kipindi walikua wanashiriki kuuza.
Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?
Ila muarabu hautambui huo undugu kwa mtu mweusi hata kama ni muislamu hii imekaaje??Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?
Bakari Mwamnyeto nae umemtaja humo humo 😆Subiri tu nondo ikuingie.
WaliachiwaVifaa wanavyo onyesha waliviteka au waliachiwa ??