Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Hahahaaa ulishaishi Somali, Lebanon, Syria na Sasa Pakistan Hadi kupata tenda...wewe mgonjwa kichwani
Sikwenda mzee,,huko story zao zinatisha Pakstan na Afghanistan kupitia njia ya kuanzia Karachi mpaka manzar el sharif sio mchezo.. Lakini watoto wa kinondoni wamejilipua sana kule
 
Ingalikuwa ni topic yenye kueleweka wala hata nsingekuja kusema hivyo.

Sasa sioni haja ya kuendeleza mjadala na wewe kwani nimetilia shaka na uwezo wa akili yako kuchanganua, na kuchakata mambo.

Wewe unaweza endeleza mjadala na mtu asiye na akili ya kawaida mkuu
Tazama jela walizokuwa wanateswa Taliban na mabwana zenu 👇🏾

 
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea.

Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu.
Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO.

Taliban hawakukubali, wakaingia vitani wakipigana na mataifa 30 yanayoaminika kuwa na nguvu kubwa za kivita duniani, yakiongozwa na Marekani, vita iliyodumu kwa miaka 20 mfululizo. Jionee gwaride la kiajabu 👇🏾



Pia kabla ya hiyo juu Kandahar walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee 👇🏾




Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo za jeshi la USA wslizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.

Kweli hivi ndiyo vidume kiboko ya USA.

Safi sana.
Marekani hainaga askari imara
Supapawa anawezaje kukimbia na kuacha silaha nyingi namna hiyo.
 
Kwamba Taliban walipamban wakashinda.

Acha udini ulio nao. Watu wanajua hyo story vizuri na nafkiri hata wewe unajua.
Acha kutudanganya hapa kisa wew ni mfia dini
Huyu Bi Mkora anashangaza hajui kuwa hivyo vifaa vilitelekezwa na havikutekwa kwenye uwanja wa mapambano
 
Nasikia kwa Sasa ndio wakulima wakuu wa miti ya cocaine duniani
Kweli kabisa, nimefa ta tafiti ndogo ya mtandaoni, nikakuta hiki:

Papaver somniferum, the opium poppy, has been used medicinally for over 5000 years. When the unripe seed capsule is incised a milky fluid runs out and when dried this constitutes opium (Greek opus = juice). This contains three important alkaloids—morphine, codeine, and papaverine.



bNidawa inayohitajija sana kaa tiba za hospitali zinazopatikana kwenye poppy Plant.


Ni wewe mwenyewe kukitaka. Kuufanya madawa yakulevya.


Mfano wa miwa hapa kwetu, miwa ndiyo chanzo kikuu cha sukari na sukari ndiyo chanzo kikuu cha alcohol.

Kazi ni kwako, siyo mmea au anaepanda mmea.
 
Upo huru. Tena vifaa siyo hivyo tu, January walionesha vya mji mwengine unaoitwa Khost, jionee [emoji1484]




Hahaha, wanavyotia hasira, wametinga mpaka nguo (combat) za jeshi la USA walizoacha kwenye store zilizotekwa. Hawa jamaa si mchezo.

Unajuwa hivi vidume havijawahi kutawaliwa.
Wakianza kumdunda Iran usiseme USA ndo anapigana , hamchelew maana nyiny ni ndumi la kuwili [emoji23] [emoji23] leo waliteka kesho mtasema USA aliacha makusudi ili vitumike kumdunda Iran
 
Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.


Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.


Wewe siyo Muislam?
Dini ililetwa kwa upanga , inajengaje undugu?
 
Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.


Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.


Wewe siyo Muislam?
Kama mnavyorudishia kwa kuvamia shule na kuchinja watoto huko naijeria sijui watoto waliwafanya nn ! au mlipovakia kitaya na kuchinja na kuchoma moto nyumba za raia sijui wale raia waliwafanya nn
 
... unawasikiliza sana uongo wa USA kwa kutaka dunia iwaunge mkono?
Hujambo binti yangu?.

USA ni moja ya nchi ambayo ni njozi ya kila mtu kufika pale, unakuta mtu anatukana sana wazungu na mbwembwe nyingine kama hizi lakini deep mind ni State.

Mzungu akimbiwi hata kama unamtukana au kumuona kashindwa vita ila siyo mjinga kwa kiasi kikubwa unachoweza kujisherehesha mbele ya watu.

Haya mengine is just show off as kila sekunde inayopita teknolojia inageuka papo kwa hapo. ¥
 
Northen Alliance washirika wa marekani ndio deal zao hizo, Taliban wapo Against Opium na mara kibao wameban uzalishaji wake, japo nao wao kuna kipindi walikua wanashiriki kuuza.

Si wote ni dini ya mnyaanzi? Kama wanashiriki kwa vyovyote ,waliwahi kuja bongo na kuwaona mateja wanavyotesa familia zao?
 
Taliban ni Waisrael waliopotea Pashtun one of the lost tribe of Israel... Kusurvive kwao kuna maana yake sio Uislam hu wa Sheitan ni Promises from Abraham na Yahweh
 
Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.


Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.


Wewe siyo Muislam?

Waislam wa uarabuni ndo waislam safi nyinyi wa huku Afrika ni wailsam uchwara.

Nimeshuhudia most cases waislam wa Afrika wananyanyasika kweny nchi za uarabuni

Rejea. yemen na oman

U CANT FOOL EVERYONE UMESIKIA BIBI?
 
Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.


Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.


Wewe siyo Muislam?
Ila muarabu hautambui huo undugu kwa mtu mweusi hata kama ni muislamu hii imekaaje??

Ni sisi tunajipendekeza kwao au sisi tunaijua vizuri dini kuliko wao??? Kama tunaijua dini kuliko wao tunawasaidiaje nawao wawaze kama sisi kuwa muislam ndugu yake muislam?
 
Back
Top Bottom