Taliban: Tupo tayari kushirikiana na nchi zote duniani isipokuwa Israel


Ulishuhudia kama wapalestina ni wachokozi? Au mahaba yamezidi mpaka unaamua uropoke. Ardhi wanayokalia ni yawapalestina, na bado wanajichukulia ardhi kana kwamba ni halali yao, hayo huyaoni!!!! Lile tukio limetokea msikitini waisrael wamewauwa wapalestina unataka kusema walichokozwa!!!!


Ndiyomaana mzungu anamdharau mtu mweusi, imefikia unaitwa Sokwe na kutupiwa miganda ya ndizi na chupa za maji. Wakati mwarabu hawezi kufanya huo ushenzi n still munawaandama na kuwachukia. Munachekesha kwelikweli mzehe
 
Mungu ibariki Israel
 

Kwahiyo uisilamu unaamini Mwezi na nyota??? Una uhakika unachokiongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…