Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

Haijalishi!

Kuna mangapi ya Trump ambayo Biden aliyafuta baada ya kuingia madarakani?

Hii blunder Biden anawajibika moja kwa moja.

Hakulazimishwa na mtu ayaondoe majeshi yake kwa namna alivyoyaondoa.
Achana na Fox news propoganda, kila security expert pamoja na Michael Mullen anasema Taliban walikuwa warudi kuwa watawala wa Afghanistan kipindi chochote majeshi ya NATO yangeicha serikali corrupt ya Afghan ambayo haikuwahi ku win mioyo ya wananchi wa kawaida wala kujenga morali kwa wanajeshi wake.
 
Pamoja na marekani kuwa na homeless wengi,Marekani huchangia 55% ya mashirika mbalimbali ya umoja wa mataifa karibu dola trilion 1.5. Kwanini isingetumia hiyo pesa kuwajengea nyumba watu wake. Endelea kushangaa na hilo.
Kajifunze maana na umuhimu "soft powers".
 
Achana na Fox news propoganda, kila security expert pamoja na Michael Mullen anasema Taliban walikuwa warudi kuwa watawala wa Afghanistan kipindi chochote majeshi ya NATO yangeicha serikali corrupt ya Afghan ambayo haikuwahi ku win mioyo ya wananchi wa kawaida wala kujenga morali kwa wanajeshi wake.
Nawe achana na CNN propaganda!

Hii ni foreign policy blunder. Period.
 
Aibu sana kwa Marekani!

Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
msiseme wameteka, semeni kuwa wameachiwa baada ya kuichakaza nchi yao na kutoonekana kama kuna maslahi tena ya marekani na wamagharibi. jueni westerners walienda kule tangu enzi za osama bin laden nafikiri na walikuwa wanahofu wataondokaje baada ya kutimiza malengo yao. taliban wakichukua nchi au wasichukue Marekani wanaathirika vipi kwa sasa?
 
Sasa zile vurugu zote za Wamarekani imekuwa kazi bure...au baada tu ya kumpata Osama ndio biashara ikaishia hapo!!
 
Ndugu yangu hili swala la Human geography linatatiza watu wengi sn DUNIANI kwahiyo kwa TANZANIA wala usishangae kuona watu wanasema WA-AFGHAN ni waarabu ni kuwaelekeza tu.

Nakingine nakupa WATANZANIA WALIO WENGI NCHI ikiwa ina waislam wengi wao huifahamu kama WAARABU hujawahi kuona wasomali wanawaita hawa waarabu.
Asojua yuwajua anajua
 
Aibu sana kwa Marekani!

Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Usimzingizie Babu wa watu, huu ulikuwa mpango wa Trump kuondoka Kabul, Ujerumani walishaondoka, kumbuka pia Mengi yaliongelewa kuhusu kuondoka kwa Marekani na washirika wake Kabul, Trump hakujali, Biedn ameingia wakati Exit inaendelea na Trump alishasema kuwa Taliban wameisha wote, Hawa wametoka wapi? Je Kabul haikuwa na Jeshi?
Miaka yote US iliyokaa Kabul wameshindwa kutengeneza jeshi imara? Walikuwa wanafanya nini?
Kumlaumu mtu wa Miezi 8 sio sawa.
 
Wazee wa kutengeneza tatzo ili waje walisov...hatar sana...mzungu akishaingia mahala kutoka hatok ngoo..na pale afghan marekan hatok....na ndo lengo hilo lilikua ..ajifanye anatoka machafuko yarudi wamuite tena....marekan anajua akiish pale basi anakua kaizunguka russia vzur tu.

Infwaact marekan ana jambo lake hyo zone
 
Taleban walikua wanafadhiliwa na marekani na wamarekani kuna sehemu anaweza kufadhili waasi na serikali ili afaidike baaadae sasa ili kuelewa haya mambo inabidi usiwe shabiki wa upande wowote na kuelewa jinsi mashirika ya kijajsusi duniani yanavofanya kazi ya kuvuruga amani ya dunia kwa maslahi yao inabidi uwe na uelewa wa hali ya juu
Kabisa! kabisa!
 
Nani anayewapa Taliban silaha ni haohao marekani na washirika wake Marekani huwa hawana urafiki wa kudumu
Naskia kuna miradi USA alikuwa anaimendea , Serikali ya Afghanistan wakawapa wachina , Marekani akawaambia Taleban changamkien fursa si tunaamsha 😂😀 sa sijui ni kweli au Stori za kwenye kahawa
 
Usimzingizie Babu wa watu, huu ulikuwa mpango wa Trump kuondoka Kabul, Ujerumani walishaondoka, kumbuka pia Mengi yaliongelewa kuhusu kuondoka kwa Marekani na washirika wake Kabul, Trump hakujali, Biedn ameingia wakati Exit inaendelea na Trump alishasema kuwa Taliban wameisha wote, Hawa wametoka wapi? Je Kabul haikuwa na Jeshi?
Miaka yote US iliyokaa Kabul wameshindwa kutengeneza jeshi imara? Walikuwa wanafanya nini?
Kumlaumu mtu wa Miezi 8 sio sawa.

Muongo wewe!

Biden ndo alitangaza kuondoka Afghanistan!
 
Muongo wewe!

Biden ndo alitangaza kuondoka Afghanistan!
 
Back
Top Bottom