Silaha iliyomuua Alzawahiri ni mpya kabisa drone aina ya R9X 'flying Ginsu' missile.Hii iliweza kumuua kiongozi huyo bila kujeruhi mtu yoyote katika familia yake wala kuharibu jengo. Pentagon inasema walifanikiwa katika kiwango hicho baada ya kukushanya taarifa za muda mrefu kuhusu mwenendo wa Alzawahiri ndani ya nyumba hiyo baada ya kufanikiwa kuwafuata nyuma nyuma mke na watoto wake.Linaloshangaza hakuna picha inayoonesha sura ya kiongozi huyo katika siku zake za mwisho.
View attachment 2316362