Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

Kwani wavaa Kobazi wa Bongo wanasemaje?
Silaha iliyomuua Alzawahiri ni mpya kabisa drone aina ya R9X 'flying Ginsu' missile.Hii iliweza kumuua kiongozi huyo bila kujeruhi mtu yoyote katika familia yake wala kuharibu jengo. Pentagon inasema walifanikiwa katika kiwango hicho baada ya kukushanya taarifa za muda mrefu kuhusu mwenendo wa Alzawahiri ndani ya nyumba hiyo baada ya kufanikiwa kuwafuata nyuma nyuma mke na watoto wake.Linaloshangaza hakuna picha inayoonesha sura ya kiongozi huyo katika siku zake za mwisho.
1659803359135.png
 
View attachment 2316362
Aise mano likwe likwe..
 
Hawa wamewekwa hapo ili waje pigana na Iran
 
Taliban yenyewe haikuwahi kuwa tishio kwa Marekani, Al Qaeda ndio waliwaponza.
Kwahyo vile vikundi ambavyo sio tishio kwa Marekani hao Taliban wanaruhusiwa kuvifadhili au sio.
 
Mbona povu sana..wewe timu magaidi...ndio kesha uliwa na huna la kufanya..zaidi kama una hasira vaa suicide vest ukachezee mbususu ahera.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hii ya kuuliwa mimi hainishughulishi sana.Najua yeye kama hajafa atakufa tu kama itakavyokuwa kwa mimi na wewe.Ninachojali ni jinsi Marekani inavyopata tabu kufafanua uongo uonekane kweli bila kujali kwamba hilo linadhihirisha udhaifu fulani katika heshima yao.Wanapotokea washenzi wakashambulia majengo nchini Marekani huambiwa eti watu fulani wamefanya shambulio la kioga. Hii nayo kama ni kweli ni kitu gani ?Kumuua mtu mzee pengine wa miaka 100 kuna umuhimu gani.Na jee hata akiwa hai ana athari gani kwao.Si ndio nikasema bora wangemkamata tukamuona na wakamshtaki.
 
Back
Top Bottom