Silaha iliyomuua Alzawahiri ni mpya kabisa drone aina ya R9X 'flying Ginsu' missile.Hii iliweza kumuua kiongozi huyo bila kujeruhi mtu yoyote katika familia yake wala kuharibu jengo. Pentagon inasema walifanikiwa katika kiwango hicho baada ya kukushanya taarifa za muda mrefu kuhusu mwenendo wa Alzawahiri ndani ya nyumba hiyo baada ya kufanikiwa kuwafuata nyuma nyuma mke na watoto wake.Linaloshangaza hakuna picha inayoonesha sura ya kiongozi huyo katika siku zake za mwisho.Kwani wavaa Kobazi wa Bongo wanasemaje?
Aise mano likwe likwe..Silaha iliyomuua Alzawahiri ni mpya kabisa drone aina ya R9X 'flying Ginsu' missile.Hii iliweza kumuua kiongozi huyo bila kujeruhi mtu yoyote katika familia yake wala kuharibu jengo. Pentagon inasema walifanikiwa katika kiwango hicho baada ya kukushanya taarifa za muda mrefu kuhusu mwenendo wa Alzawahiri ndani ya nyumba hiyo baada ya kufanikiwa kuwafuata nyuma nyuma mke na watoto wake.Linaloshangaza hakuna picha inayoonesha sura ya kiongozi huyo katika siku zake za mwisho.
View attachment 2316362
Kumbe waliondoka kwa makubaliano kabisa,aisee kumbe tambo za talibani kufurusha jeshi la marekani ni uongo.
NDIOKwahyo vile vikundi ambavyo sio tishio kwa Marekani hao Taliban wanaruhusiwa kuvifadhili au sio.
Kwahyo vile vikundi ambavyo sio tishio kwa Marekani hao Taliban wanaruhusiwa kuvifadhili au sio.
Hii ya kuuliwa mimi hainishughulishi sana.Najua yeye kama hajafa atakufa tu kama itakavyokuwa kwa mimi na wewe.Ninachojali ni jinsi Marekani inavyopata tabu kufafanua uongo uonekane kweli bila kujali kwamba hilo linadhihirisha udhaifu fulani katika heshima yao.Wanapotokea washenzi wakashambulia majengo nchini Marekani huambiwa eti watu fulani wamefanya shambulio la kioga. Hii nayo kama ni kweli ni kitu gani ?Kumuua mtu mzee pengine wa miaka 100 kuna umuhimu gani.Na jee hata akiwa hai ana athari gani kwao.Si ndio nikasema bora wangemkamata tukamuona na wakamshtaki.Mbona povu sana..wewe timu magaidi...ndio kesha uliwa na huna la kufanya..zaidi kama una hasira vaa suicide vest ukachezee mbususu ahera.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na yule kipofu kabisa ndio hakuweza kuona kilichotokea.Mtu mjinga sana ndiye anaweza kuamini Wataliban wangeweza kulifurusha jeshi la Marekani