Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

Joined
Mar 15, 2018
Posts
26
Reaction score
36
02AfghanTaliban02-videoSixteenByNine3000.jpg

Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo.

Tangazo hilo limetoka baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kutangaza kuwa Zawahiri ameuawa kwa shambulizi la drone alipokuwa katika makazi yake.

Taliban na Marekani ziliweka makubaliano huko DOHA kuwa Taliban itazidhibiti makundi yote ya ugaidi na kutofadhili vikundi vyovyote vya ugaidi ambapo ni tishio kwa Marekani na ushirika wake kutokana na makubaliano hayo, Rais Biden alitoa amri ya kuliondoa jeshi la Marekani Nchini Afghanistan.

Chanzo. The Guardian
The Taliban leadership has said they did not know that al-Qaida boss Ayman al-Zawahiri had moved to the Afghan capital, Kabul, where the US president, Joe Biden, said he was killed by a drone strike at the weekend.

“The Islamic Emirate of Afghanistan has no information about Ayman al-Zawahiri’s arrival and stay in Kabul,” the militants said in a statement, that used their chosen name for their unrecognized regime.

The statement was released more than three days after the hit on a house in the capital’s Sherpur district.

Taken at face value, the claim is an extraordinary one. It suggests the Taliban have little control over the heart of their capital, including the heavily guarded area frequented by some of their most elite leadership.

It also implies they were unable to track or control a terror group whose status was a key part of the 2020 deal with Washington that paved the way for US troops to leave, and the Taliban to return to power.

Under the Doha agreement, the Taliban promised the US that Afghanistan would not host terror groups that threatened the US and its allies. The interior minister, Sirajuddin Haqqani, just two days before the drone strike told an Indian news outlet that al-Qaida was a “dead” organization with no presence in Afghanistan.

However, US officials have said the apartment where Zawahiri was killed was rented by one of Haqqani’s aides.
If the Taliban denial seems barely plausible, it was perhaps the only way out of a political bind created by Zawahiri’s assassination.

The Taliban are still seeking international recognition for their rogue regime, hoping it may cushion an economic collapse by ending sanctions and releasing funds for aid and business. An aggressive response to Zawahiri’s death would not further that cause.

However, al-Qaida and its leadership are revered by many in the group’s ranks, who are also likely to see a drone strike in the heart of the capital as an assault on their sovereignty. So they could not afford to ignore the hit on Zawahiri.

Suhail Shaheen, the Taliban’s designated delegate to the UN who is based in Doha, said the regime was investigating both whether Zawahiri had been in Kabul, and whether he had been killed, and would share its findings. “Investigation is under way now to find out about veracity of … both claims,” he said in a text message to reporters.

The Taliban also said in the statement they wanted “to implement the Doha pact”, and there was no threat to America from Afghanistan. However, the statement condemned Washington for “invading our territory and violating all international principles” with the attack, and made a barely veiled warning that it would consider retaliation in case of future drone strikes.

Several members of the government, including Haqqani, still have bounties on their heads in relation to past terror attacks and reportedly live in fear of assassination attempts, keeping a low profile and moving regularly.
“If such action is repeated, the responsibility of any consequences will be on the United States of America,” the statement said.
 
Nimeona gravitas kuwa nyumba aliyokuwa akiishi inamilikiwa na waziri wa ulinzi wa serikali ya taliban. Pia inasadikiwa pakstan ndio waliwatip US kuwa bwana mkubwa na familia yake wamehamia kabul. Na Biden alikuwa akisubiriwa awape go ahead mwezi mzima akawa kimya mpaka alipokuja kutoa go ahead.

Wajuba walikuwa washamfuatikia wanajua muda gan anakuwa kwenye balcon na walitaka wasiwadhuru wengine isipokuwa yeye tu ndio maana walitumia aina hiyo ya kombora.
 
Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo.

Tangazo hilo limetoka baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kutangaza kuwa Zawahiri ameuawa kwa shambulizi la drone alipokuwa katika makazi yake.

Taliban na Marekani ziliweka makubaliano huko DOHA kuwa Taliban itazidhibiti makundi yote ya ugaidi na kutofadhili vikundi vyovyote vya ugaidi ambapo ni tishio kwa Marekani na ushirika wake kutokana na makubaliano hayo, Rais Biden alitoa amri ya kuliondoa jeshi la Marekani Nchini Afghanistan.
Chanzo. The Guardian
Kwahyo vile vikundi ambavyo sio tishio kwa Marekani hao Taliban wanaruhusiwa kuvifadhili au sio.
 
Kumbe waliondoka kwa makubaliano kabisa,aisee kumbe tambo za talibani kufurusha jeshi la marekani ni uongo.
Tangu lini wavaakobazi wakawa na uwezo wa kupambana na usa..usa aliondoka kwa makubaliano wakikiuka makubaliano hata leo usa navy zinatia timu..si umeona walivyo jihami kutoa taarifa hiyo ili wasionekane wamekiuka makubaliano.

Live long USA.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watawala wa Afghanistan wamesema hawana taarifa za kuuliwa kwa anayeitwa kiongozi wa Alqaeda nchini mwao. Kauli hiyo imetolewa jana ikiwa ni siku 4 tangu raisi Biden wa Marekani kutangaza kumuua mtu huyo ambaye miaka mingi nyuma alitajwa kama msaidizi wa Osama bin Laden..
Kwa mujibu wa taarifa za kifo chake ni kwamba ndege aina ya droni ilipata amri ya kumuua kiongozi huyo kwenye nyumba aliyokuwa akiishi katikati ya jiji la Kabul wakati alipotoka kwenye veranda kupungua hewa..
Matekani inadai nyumba hiyo aliyokuwa akiishi ilikuwa ikifadhiliwa na viongozi wa juu wa Taliban
1659707922765.png

1659708001538.png
 
Hao nao waache kuona aibu ya kuuwawa kwa mgeni wao, wakiambiwa kwamba ni magaidi wanajidai kupinga sasa wapi wamtoe basi aonekane kama ni mzima.

Hawa akina Taliban, Isis, Al Qaeda, Al Shabab, Al Nusrat ni wale wale wa Global Jihad Mission.
 
Kama walimuona akipunga hewa kifua wazi basi kabla kumuua wangempiga picha tukaamini ushujaa wao. Haya ni kama yale ya vidio ya kuuliwa Osama iliyokuwa ikiangaliwa na Obama White house.
 
Hao nao waache kuona aibu ya kuuwawa kwa mgeni wao, wakiambiwa kwamba ni magaidi wanajidai kupinga sasa wapi wamtoe basi aonekane kama ni mzima.

Hawa akina Taliban, Isis, Al Qaeda, Al Shabab, Al Nusrat ni wale wale wa Global Jihad Mission.
Umeona au umesikia ?
 
Back
Top Bottom