Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

Huwa nawaambia hapa Bet against Uncle Sam at your own risk , acheni kabisa lile taifa , Marekani thinks 1000 years ahead of every godamn fool
Ukiwaza kwa chuki utaamini jamaa wanaenda kudondoka kesho, wakati ni kinyume chake.
Yaani serious kabisa watu wanaamini China atamuangusha US, hata hawafikirii mara mbili kuhusu kilichomfikisha China pale alipo! Wanafikiri kafika tu kwa kuamua, China naye kalewa sifa.
Ngoja uone atakavyolambishwa sakafu.

Watu wanabaki kuimba nyimbo za BRICS, ambayo kabla hata haijaanza lolote tayari South Africa amewashiwa taa nyekundu, annaanza kujishika magoti kabla hata ya kuanza kutembea, let alone mbio Russia naye ndiye huyo.
India amekua na kujitanua strategically kwa mchoro uliochorwa na CIA. Halafu watu wanatupigia kelele tu hapa.
 
ndo ujue hii dini ya kipumbavu unakubalije kutumiwa kisa nyie shia kwa suni
 
Acha uongo wewe, wamekufa askari wawili wa Iran na 1 wa Taleban.
Yaani unakimbia kuandika unachotamani kitokee badala kuandika kilichotokea? Haya 'mahaba niue' yanafifisha kabisa uwezo wa akili
 
Hii habari imekuzwa hapa Jf , nilidhani ni uvamizi wa kudhamiria kabisa kuvamia nchi fulani moja kwa moja kumbe ni migogoro ya kawaida ambayo hutokea mipakani baada ya askari kutoelewana.

Mwanzo ulisema hujaiona, nimekuletea source tena ya kiarabu sasa umehamisha magoli, kwa kifupi fisi kala fisi na muendelee hivyo ili dunia tuishi kwa amani, hao mataliban wajilipue lipue kwa Iran ili wawahi mabikira.
 
Hata Kenya na Tz huwa kunatokeaga shida mipakani ,na sio hao tu ni nchi kibao hata nyinyi wa Kenya mna mgogora na jirani yenu wa siku nyingi kuhusu mpaka .

Sasa mada kawasilisha kama Serikali moja inataka kufanya uvamizi katika nchi nyingine kama Urusi na Ukraine wakati mgogoro hatujafika stage hiyo na wala hakuna aliyemtisha mwenzake sasa mleta mada kaikuza habari kishambenga.
 
Migogoro ya mipakani ipo kote duniani, ila yenu huwa na mizuka ya kidini na kulipukiana, kidogo dunia inapata ahueni mkigeukiana huko.
 
Hii habari imekuzwa hapa Jf , nilidhani ni uvamizi wa kudhamiria kabisa kuvamia nchi fulani moja kwa moja kumbe ni migogoro ya kawaida ambayo hutokea mipakani baada ya askari kutoelewana.
Mbona Tz haina hiyo migogoro ya kawaida na majirani zake ?
 
We kiande ,lini ulisikia jeshi la tz limegombania mpaka na jeshi la Kenya, uganda , rwanda au burundi ?
 
Huawei isharudi kwenye biashara kitambo tu. Kuna project mpya kibao zinakuja mfano siku chache zilizopita Volkswagen walisain mkataba na Huawei (Gari za VW zitumie Harmony OS)
 
We kiande ,lini ulisikia jeshi la tz limegombania mpaka na jeshi la Kenya, uganda , rwanda au burundi ?
Wapi nimesema Jeshi la Tz limegombana na jeshi la Kenya kuhusu mpaka ,hivi akili unayo ?

Mimi nimetoa Maelezo generally kwamba mipakani migogoro ni jambo la kawaida na sijakuwa specific kwamba mgogoro wa namana hiyo umewahi kutokea East Africa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…