Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

Hivi Hawa wavaa vipedo wangekua ndo kiranja wa Dunia kama USA. Watu wangeishije kwenye hii Dunia jaman. Yaan wanawake wasingepata elimu hata kidogo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
FaizaFoxy makaveli10 adriz hiyo Sheria ni ya lazima kwenye udini ? Au ni tamaduni za kale za waarabu ?
Hiyo sheria walifundishwa kutoka kwenye biblia. Somaa:

Mwanzo 24:
64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
 
Hivi huko ahera hao mabikira watakua wanafunika nyuso zao? Ni swali lakn

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Muulize aliyeiandika Biblia maana huko ndipo kwenye mafundisho hayo, ushhidi:

Mwanzo 24:
64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
 
Yaan wewe ndo kafiri mkubwa. Tatzo lako hii dini umeipokea ukubwan. Mbona bibi yako huko kijijin hafuniki uso

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
sasa wewe unajifanya unanijua wakati hujui lolote kuhusu mimi ?

iko hivi Taliban wanachokifanya wanafuata amri za Mwenyezi Mungu na inshaAllah atawalipa malipo mema.

Tanzania ni Nchi ya kikafir kwa hio hakuna sheria inambana mtu ila kama Taliban uwezo wanao acha watekeleze .

Nyie mnaumia nini ?
 
mbinguni ndio wapi ?
 
Wakati huo upo zako manzese unakula mihogo.

Nchi unayowaza akili mwako kwenda kuishi ni marekani na ulaya.

Huwezi sikia mnawaza au mnaenda afgan kuishi..unafiki tu umewajaa.

#MaendeleoHayanaChama
usijifanye uko sana akilini mwangu tuliza kinyeo

iko hivi Taliban wanachokifanya wanafuata amri za Mwenyezi Mungu na inshaAllah atawalipa malipo mema.

Tanzania ni Nchi ya kikafir kwa hio hakuna sheria inambana mtu ila kama Taliban uwezo wanao acha watekeleze .

Nyie mnaumia nini ?
 
Una uhakika alijifunika hiyo shela mpaka usoni ?
 
Bongo Wanavaa hijabu kama hangaya lakini taliban wanataka wavae kininja yaonekane macho tuu yaani hata mikono na miguu isionekane kabisa
Wakivaa kama hangaya wanaonekana bado wapo uchi.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli maanake wanawake wengi wa huko Afghanistan wanapinga hizo sheria za kikatili dhidi ya wanawake.

Uzuri sisi Mungu wetu hajatuambia tufuate hizo sheria za kipuuzi kwani dhambi iko rohoni na sio mwilini au kwenye mavazi.

Nashangaa mjinga anayesema eti Tanzania ni nchi ya kikafiri wakati ndipo anapoishi na ukitaka kumpeleka huko Afghanistan anaweza akajinyonga.
 
nyie makafir hamuwezi elewa nini kinaendelea huko nyie tulieni hivo hivo acha Wake zenu waendelee kutembea uchi mitaani ...
Jinga moja lililo letewa dini kutoka uarabuni na bwana mwarabu fighter linacomment udwanz wake hapa......kafikiri Kwanza kuwaita wenzanko KAFIR............nakuona ulivojitilisha huruma baada ya kumaliza kupiga puli
 
Bongo Wanavaa hijabu kama hangaya lakini taliban wanataka wavae kininja yaonekane macho tuu yaani hata mikono na miguu isionekane kabisa
Wakivaa kama hangaya wanaonekana bado wapo uchi.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
US ndio wa kulaumiwa kakaa miaka 20 kafanya nini cha maana? yeye ndio kawatoa na yeye ndio kasababisha wamerudi, hivyo basi kwa kuwa ndio wenye madaraka waheshimiwe kama nchi huru
 
Wakati huo upo zako manzese unakula mihogo.

Nchi unayowaza akili mwako kwenda kuishi ni marekani na ulaya.

Huwezi sikia mnawaza au mnaenda afgan kuishi..unafiki tu umewajaa.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee tulishakataza kupigana na vitu vizito kichwani kama hivi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Hata mbinguni tu hamna mambo ya kijinga kama hayo. Nashangaa mwili wa mtu mwingine unakuhusuje wewe. Bure kabisa.
Umejuaje kama mbinguni hakuna hayo mambo.

Uliwahi kufa halafu ukaenda mbinguni halafu ukafufuka?

Walipigana vita na kushinda kwa Mataifa yote makubwa hapa duniani.

Hivyo wanaa haki ya kuamua namna ya kujitawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…