FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hilo utajaza wewe.Una uhakika alijifunika hiyo shela mpaka usoni ?
Wewe unataka wanawake wa Taliban (Kiboko Ya Mmerekani na washirika wake) wasijifunike ili iweje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo utajaza wewe.Una uhakika alijifunika hiyo shela mpaka usoni ?
Kwani lazima wajifunike mpaka uso ?...kwani kichwa hakitoshi ?Hilo utajaza wewe.
Wewe unataka wanawake wa Taliban wasijifunike ili iweje?
hujaishi kweny sharia hujui masaibu ya sharia , ndio maana unasapoti ujinga waulize wasomalianyie makafir hamuwezi elewa nini kinaendelea huko nyie tulieni hivo hivo acha Wake zenu waendelee kutembea uchi mitaani ...
hawapendi , usiite kawaida wakat watakaokosoa basi ndo mwisho wa maisha yakeJambo jema acha wajifunike kwa kua waafghan wanahitaji kisikia habari sio kuona sura
Halafu pia haya mambo mbona ni ya kawaida tu kwa waislam yanakuzwaga tu sijui ni kwa maslahi ya nani
Kwani hamuonagi hata hapa bongo wanawake wa kiislam wakifunika nyuso zao?
wanaumia hao wa afghanstan wanaletewa utaribu mgeni kwa zama hz .sasa wewe unajifanya unanijua wakati hujui lolote kuhusu mimi ?
iko hivi Taliban wanachokifanya wanafuata amri za Mwenyezi Mungu na inshaAllah atawalipa malipo mema.
Tanzania ni Nchi ya kikafir kwa hio hakuna sheria inambana mtu ila kama Taliban uwezo wanao acha watekeleze .
Nyie mnaumia nini ?
Sasa hapo amelazimishwa?Hiyo sheria walifundishwa kutoka kwenye biblia. Somaa:
Mwanzo 24:
64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Taliban wapumbav,na wewe utakuwa mpumbav kama unawaunga mkono!Juzi tu hapa wamefunga Shule za wanawake!ShameHilo utajaza wewe.
Wewe unataka wanawake wa Taliban (Kiboko Ya Mmerekani na washirika wake) wasijifunike ili iweje?
Swali zuri sana, huyo ni mtiifu na mcha Mungu ambae haihitaji kulazimishwa, sasa sema na hili kutoka ndani ya biblia, unalazimishwa au unaombwa hapa?...Sasa hapo amelazimishwa?
Sijaona hapo kufunika sura!Tena hapo ni wakati wa kuswali,Sasa Mimi nashindwa kuelewa logic ya kumlazimisha mwanamke kufunika sura mara atokapo tu mlangoni Kwake!Swali zuri sana, huyo ni mtiifu na mcha Mungu ambae haihitaji kulazimishwa, sasa sema na hili kutoka ndani ya biblia, unalazimishwa au unaombwa hapa?...
! Wakorintho 11:
5Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
Ikiwa Biblia inakufundisha hayo, tena hapo mimi naona kwa lazima. Vipi uwalaumu Taliban kwa kuulinda utu wao?
Uan macho lakini hayaoni, una masikio hayasikii. Jipime kabla hujwapima Taliban.
Unasikitisha sana.
Mbona huu utaratibu upo mpaka leo bibi harusi hujifunika kwa shela mbele ya bibi harusi na rebeka alikuwa bibi harusi kipindi isaca anakuja💯✍ alafu ndugu FaizaFoxy mbona ww mwenyew hapo kwenye picha hujafunika uso?? Na kipindi cha rebeka islamic haikuwepo kabisa .Hiyo sheria walifundishwa kutoka kwenye biblia. Somaa:
Mwanzo 24:
64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.
65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Ah sie tunatakakuona wezere na mbususu bwana....nyie makafir hamuwezi elewa nini kinaendelea huko nyie tulieni hivo hivo acha Wake zenu waendelee kutembea uchi mitaani ...
1 Corinthians 11:5-6 "5 But every woman who prays or prophesies with her head uncovered dishonors her head—it is the same as having her head shaved. 6 For if a woman does not cover her head, she might as well have her hair cut off; but if it is a disgrace for a woman to have her hair cut off or her head shaved, then she should cover her head."Swali zuri sana, huyo ni mtiifu na mcha Mungu ambae haihitaji kulazimishwa, sasa sema na hili kutoka ndani ya biblia, unalazimishwa au unaombwa hapa?...
! Wakorintho 11:
5Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
Ikiwa Biblia inakufundisha hayo, tena hapo mimi naona kwa lazima. Vipi uwalaumu Taliban kwa kuulinda utu wao?
Uan macho lakini hayaoni, una masikio hayasikii. Jipime kabla hujwapima Taliban.
Unasikitisha sana.
Wewe sura yako ipo makalioni au ipo pamoja na bichwa lako?Sijaona hapo kufunika sura!Tena hapo ni wakati wa kuswali,Sasa Mimi nashindwa kuelewa logic ya kumlazimisha mwanamke kufunika sura mara atokapo tu mlangoni Kwake!
Halafu sijui kwanini unatumia biblia justify suala hilo la Taliban,ungetumia tu Quran ingekuwa sahihi zaidi maana Taliban naamini wamejikita katika Quran;
Pumbav,jiheshimu!Wewe sura yako ipo makalioni au ipo pamoja na bichwa lako?
Wewe hata maana ya "faragha" huielewi. Faragha ni kujianika mbele ya ulimwengu huku unahutubia?1 Corinthians 11:5-6 "5 But every woman who prays or prophesies with her head uncovered dishonors her head—it is the same as having her head shaved. 6 For if a woman does not cover her head, she might as well have her hair cut off; but if it is a disgrace for a woman to have her hair cut off or her head shaved, then she should cover her head."
Haikusemwa kwamba kila wakati mwanamke awe amefunika kichwa ila ni pale tu anapokuwa kwenye ibada kwenye madhabahu.
Hii sheria ya Taliban ni ya kipuuzi sana na ni kuingilia uhuru na faragha za wengine, kila siku tunaangalia kwenye runinga huko mashariki ya kati kuna wanawake wengine hata hawajitandi na maushungi na tena unakuta wamevaa ma-jeans tu na hakuna anayejali kila mmoja anachukua time yake.
Hakuna mahali katika Uislam unapoamrishwa kujifunika uso (gubigubi). Unachotakiwa ni kujistiri wakati wote.Mbona huu utaratibu upo mpaka leo bibi harusi hujifunika kwa shela mbele ya bibi harusi na rebeka alikuwa bibi harusi kipindi isaca anakuja💯✍ alafu ndugu FaizaFoxy mbona ww mwenyew hapo kwenye picha hujafunika uso?? Na kipindi cha rebeka islamic haikuwepo kabisa .
Wewe umedanganywa na wamagharibi ukakubali, ukainhia kichwa kichwa, Elimu kwao wao ni kuku brainwash wewe ufate yao.Wewe umepata elimu ndio maana uko hapa unaandika,nimesema hao Taliban ni wapumbav maana wamezuia wanawake kupata elimu!
Sasa na elimu Kwa wanawake ni Haram?
Halafu,uso kuwa wazi ndio kukaa uchi?Mimi hata huwa siwaelewi Hawa ma-extremist!
Hayo ya vita Mimi Simi,Niko kwenye hili la kufunika uso na kuzuia watoto wa kike kupata elimu dunia!