Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

Hayo ni mambo ya kawaida kwa Waislamu, acheni kushupalia mambo yasiwahusu.

Mnawatakia nini wanawake wa ki Afghanistan muwaone? Si katazame makalio ya dada na mama zako cornee bar Siza? Au Ohio? Au Buguruni, Rosana siku hizi?
Ina umejichanganya mpaka ukareply Kwa ID Yako nyingine! FaizaFoxy
 
Wewe hata maana ya "faragha" huielewi. Faragha ni kujianika mbele ya ulimwengu huku unahutubia?

Ujuha mwengine ni mzigo, wewe kwanza zuia maovu ya kwako hapa kabla hujayaingilia ya watu wasiokuhusu ndee wala sikm

Wewe hata maana ya "faragha" huielewi. Faragha ni kujianika mbele ya ulimwengu huku unahutubia?

Ujuha mwengine ni mzigo, wewe kwanza zuia maovu ya kwako hapa kabla hujayaingilia ya watu wasiokuhusu ndee wala sikio.
Mimi nimekuwekea maandiko uliyonukuu na kutoa maelezo ya upotoshaji wala neno faragha halipo kwenye maandiko husika.

Wewe jikite kwenye maandiko ya kitabu unachokiamini na uachane na kitabu usichokiamini kwa sababu matokeo yake ndio unaleta huo upotoshaji.
 
Jambo jema acha wajifunike kwa kua waafghan wanahitaji kisikia habari sio kuona sura

Halafu pia haya mambo mbona ni ya kawaida tu kwa waislam yanakuzwaga tu sijui ni kwa maslahi ya nani

Kwani hamuonagi hata hapa bongo wanawake wa kiislam wakifunika nyuso zao?
Kwa wasomaji wa habari?
 
Hivi huko akhera wale bikra 72 nao watajifunika? Au itakuwa mambo wazi wazi tu?
 
Afghanistan wanasaidiwa na Allah, wewe ndie unategemea msaada wa mabwana zako wa Kimagharibi. Kwa ujinga wako tu.

Leo kuwaanika dada na mama zako ukawaacha wametunisha makalio juu, na wasio nayo Wachina wamefanya biashara ya kuwauzia makalio feki maarufu ya "mchina", unafikiri ujinga huo ulianza vipi? Ulianza kwa kujazwa wewe kwenye ubongo wako mpaka ukawa brain dead. Unafikiri dada zako wanapo nunua makalio ya Mchina hela wanatoa wapi, na wanakwenda kumdanganya nayo nani huko mitaani, ni wewe mjinga. Mwisho wa siku anayavua analala. Jifikirie.

Wewe uliytesomeshwa ujinga ukakujaa, umeshauliwa ubongo wako, hauna uwezo wa kufikiri hata kidogo. Wewe ni msukule tu. "You are a walking corpse", ubongo wako umeshakufa kwa kujazwa ujinga, huwezi kujielewa.
Mimi ni mwafrika najivunia uafrika na utamaduni wake,yeyote anayejipuuza ikiwa ni mwafrika kwa kisingizio chochote huyo ni mtumwa tu anahemkwa na tamaa za kimwili na kushindwa kuji-control huyo ni sawa na ng'ombe,mbwa...akili zao ziko sawasawa.Kama unaamini mwanamke ana matundu 7 ya KUMSTAREHESHA mwanaume kwanini usijisitiri?
 
Hata sikuelewi uichoandika ummemaanisha nini.

Wewe huna matundu? Yapo kumstarehesha nani?
 
Hata sikuelewi uichoandika ummemaanisha nini.

Wewe huna matundu? Yapo kumstarehesha nani?
Mtafute sheikh atakuambia hayo matundu saba maana akili zenu ni ngono tu au vile vitabu vyenu visaidizi umechagua vya kuviamini,pole sana mngazija naona athari za utumwa zimekukaa kwelikweli!
 
Back
Top Bottom