Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

Una uhakika alijifunika hiyo shela mpaka usoni ?
Hilo utajaza wewe.

Wewe unataka wanawake wa Taliban (Kiboko Ya Mmerekani na washirika wake) wasijifunike ili iweje?
 
nyie makafir hamuwezi elewa nini kinaendelea huko nyie tulieni hivo hivo acha Wake zenu waendelee kutembea uchi mitaani ...
hujaishi kweny sharia hujui masaibu ya sharia , ndio maana unasapoti ujinga waulize wasomalia
 
hawapendi , usiite kawaida wakat watakaokosoa basi ndo mwisho wa maisha yake
 
wanaumia hao wa afghanstan wanaletewa utaribu mgeni kwa zama hz .
 
Sasa hapo amelazimishwa?
 
Hilo utajaza wewe.

Wewe unataka wanawake wa Taliban (Kiboko Ya Mmerekani na washirika wake) wasijifunike ili iweje?
Taliban wapumbav,na wewe utakuwa mpumbav kama unawaunga mkono!Juzi tu hapa wamefunga Shule za wanawake!Shame
 
Sasa hapo amelazimishwa?
Swali zuri sana, huyo ni mtiifu na mcha Mungu ambae haihitaji kulazimishwa, sasa sema na hili kutoka ndani ya biblia, unalazimishwa au unaombwa hapa?...

! Wakorintho 11:
5Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.


Ikiwa Biblia inakufundisha hayo, tena hapo mimi naona kwa lazima. Vipi uwalaumu Taliban kwa kuulinda utu wao?

Uan macho lakini hayaoni, una masikio hayasikii. Jipime kabla hujwapima Taliban.

Unasikitisha sana.
 
Sijaona hapo kufunika sura!Tena hapo ni wakati wa kuswali,Sasa Mimi nashindwa kuelewa logic ya kumlazimisha mwanamke kufunika sura mara atokapo tu mlangoni Kwake!
Halafu sijui kwanini unatumia biblia justify suala hilo la Taliban,ungetumia tu Quran ingekuwa sahihi zaidi maana Taliban naamini wamejikita katika Quran;
 
Tatizo siyo dini. Tatizo ni wataliban. Kabla ya wao kuingia watu waliishi bila hizi extreme sharia walipoingia wakaanza kuzishikia bango. Usa ikaenda mambo yakalegea, usa imeondoka Taliban wamerudi na extreme sharia.

Sasa wachukue wanaojisema wao ni waislamu sana humu jf waambie waende kuishi huko, wakikubali, sisi tutawachangia nauli ya kwenda.
 
Mbona huu utaratibu upo mpaka leo bibi harusi hujifunika kwa shela mbele ya bibi harusi na rebeka alikuwa bibi harusi kipindi isaca anakuja💯✍ alafu ndugu FaizaFoxy mbona ww mwenyew hapo kwenye picha hujafunika uso?? Na kipindi cha rebeka islamic haikuwepo kabisa .
 
nyie makafir hamuwezi elewa nini kinaendelea huko nyie tulieni hivo hivo acha Wake zenu waendelee kutembea uchi mitaani ...
Ah sie tunatakakuona wezere na mbususu bwana....
 
Sasa madame Faiza Foxy anakua kama chichidodo anawakandia western countries lakini elimu kapatia huko na ni keyboard warrior kwa device ambayo ni kwa hisani ya western.
 
1 Corinthians 11:5-6 "5 But every woman who prays or prophesies with her head uncovered dishonors her head—it is the same as having her head shaved. 6 For if a woman does not cover her head, she might as well have her hair cut off; but if it is a disgrace for a woman to have her hair cut off or her head shaved, then she should cover her head."

Haikusemwa kwamba kila wakati mwanamke awe amefunika kichwa ila ni pale tu anapokuwa kwenye ibada kwenye madhabahu.

Hii sheria ya Taliban ni ya kipuuzi sana na ni kuingilia uhuru na faragha za wengine, kila siku tunaangalia kwenye runinga huko mashariki ya kati kuna wanawake wengine hata hawajitandi na maushungi na tena unakuta wamevaa ma-jeans tu na hakuna anayejali kila mmoja anachukua time yake.
 
Wewe sura yako ipo makalioni au ipo pamoja na bichwa lako?
 
Wewe hata maana ya "faragha" huielewi. Faragha ni kujianika mbele ya ulimwengu huku unahutubia?

Ujuha mwengine ni mzigo, wewe kwanza zuia maovu ya kwako hapa kabla hujayaingilia ya watu wasiokuhusu ndee wala sikio.
 
Hakuna mahali katika Uislam unapoamrishwa kujifunika uso (gubigubi). Unachotakiwa ni kujistiri wakati wote.

Taliban wana sababu zao kuamuru chochote wakionacho kuwa kina faida kwao. Wewe umeona kujifunika ni mpaka mtu aolewe tu, kazi kwako. Mwengine anaona asijifunike kabisa, kaiz kwake.

Lisilokuwa sawa ama unaweza kulizuia kwa mkono lizuwie, usipoweza kwa mkono basi lizuwie kwa mdomo, usipoweza kwa mdomo, basi lichukie, shika njia nenda zako. Usilazimishe mtu akufate utakavyo wewe.

Taliban wewe wanakuhusu nini? Anza na ya kwako.
 
Wewe umedanganywa na wamagharibi ukakubali, ukainhia kichwa kichwa, Elimu kwao wao ni kuku brainwash wewe ufate yao.

Kama wewe huna yako ya maana na mema yakufatwa ukaona uyafate ya wa Magharibi? Taliban wanayo yao mema ya kuyafata na wanaelewa wanachokifanya kuliko hao mabwana zenu wa Kimagharibi. Kama unabisha, na hiyo mnayoiona nyie kuwa ni elimu (yenye maana sana) yao yote, na masilaha yao yote, na midege yao yote ya kivita, na manowati zao za kivita wamehenyeshwa na watu hao unaodhani wewe kuwa hawana elimu mpaka wametoka "nduki". Umewahi kulifikiria hilo lipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…