Ina umejichanganya mpaka ukareply Kwa ID Yako nyingine! FaizaFoxyHayo ni mambo ya kawaida kwa Waislamu, acheni kushupalia mambo yasiwahusu.
Mnawatakia nini wanawake wa ki Afghanistan muwaone? Si katazame makalio ya dada na mama zako cornee bar Siza? Au Ohio? Au Buguruni, Rosana siku hizi?
Wewe hata maana ya "faragha" huielewi. Faragha ni kujianika mbele ya ulimwengu huku unahutubia?
Ujuha mwengine ni mzigo, wewe kwanza zuia maovu ya kwako hapa kabla hujayaingilia ya watu wasiokuhusu ndee wala sikm
Mimi nimekuwekea maandiko uliyonukuu na kutoa maelezo ya upotoshaji wala neno faragha halipo kwenye maandiko husika.Wewe hata maana ya "faragha" huielewi. Faragha ni kujianika mbele ya ulimwengu huku unahutubia?
Ujuha mwengine ni mzigo, wewe kwanza zuia maovu ya kwako hapa kabla hujayaingilia ya watu wasiokuhusu ndee wala sikio.
Elimu yangu dogo juu ya jambo hili,siwezi kutia neno kwa kitu nisichokuwa na elimu nacho,huenda wakawa sahihi ama wasiwe sahihi.FaizaFoxy makaveli10 adriz hiyo Sheria ni ya lazima kwenye udini ? Au ni tamaduni za kale za waarabu ?
Kwa wasomaji wa habari?Jambo jema acha wajifunike kwa kua waafghan wanahitaji kisikia habari sio kuona sura
Halafu pia haya mambo mbona ni ya kawaida tu kwa waislam yanakuzwaga tu sijui ni kwa maslahi ya nani
Kwani hamuonagi hata hapa bongo wanawake wa kiislam wakifunika nyuso zao?
Mimi ni mwafrika najivunia uafrika na utamaduni wake,yeyote anayejipuuza ikiwa ni mwafrika kwa kisingizio chochote huyo ni mtumwa tu anahemkwa na tamaa za kimwili na kushindwa kuji-control huyo ni sawa na ng'ombe,mbwa...akili zao ziko sawasawa.Kama unaamini mwanamke ana matundu 7 ya KUMSTAREHESHA mwanaume kwanini usijisitiri?Afghanistan wanasaidiwa na Allah, wewe ndie unategemea msaada wa mabwana zako wa Kimagharibi. Kwa ujinga wako tu.
Leo kuwaanika dada na mama zako ukawaacha wametunisha makalio juu, na wasio nayo Wachina wamefanya biashara ya kuwauzia makalio feki maarufu ya "mchina", unafikiri ujinga huo ulianza vipi? Ulianza kwa kujazwa wewe kwenye ubongo wako mpaka ukawa brain dead. Unafikiri dada zako wanapo nunua makalio ya Mchina hela wanatoa wapi, na wanakwenda kumdanganya nayo nani huko mitaani, ni wewe mjinga. Mwisho wa siku anayavua analala. Jifikirie.
Wewe uliytesomeshwa ujinga ukakujaa, umeshauliwa ubongo wako, hauna uwezo wa kufikiri hata kidogo. Wewe ni msukule tu. "You are a walking corpse", ubongo wako umeshakufa kwa kujazwa ujinga, huwezi kujielewa.
Hata sikuelewi uichoandika ummemaanisha nini.Mimi ni mwafrika najivunia uafrika na utamaduni wake,yeyote anayejipuuza ikiwa ni mwafrika kwa kisingizio chochote huyo ni mtumwa tu anahemkwa na tamaa za kimwili na kushindwa kuji-control huyo ni sawa na ng'ombe,mbwa...akili zao ziko sawasawa.Kama unaamini mwanamke ana matundu 7 ya KUMSTAREHESHA mwanaume kwanini usijisitiri?
Mtafute sheikh atakuambia hayo matundu saba maana akili zenu ni ngono tu au vile vitabu vyenu visaidizi umechagua vya kuviamini,pole sana mngazija naona athari za utumwa zimekukaa kwelikweli!Hata sikuelewi uichoandika ummemaanisha nini.
Wewe huna matundu? Yapo kumstarehesha nani?