Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali.

Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais.

Huu ni mwendelezo wa maandamano kadhaa ya Wanawake Kabul na Herat. Wanawake wengi wana hofu hali itarejea kama iliyokuwa kati ya 1996 na 2001 ambapo Taliban walishika madaraka.

======

Taliban officials have broken up a demonstration by dozens of women in Kabul demanding rights following the Taliban takeover in Afghanistan.

The group say the Taliban targeted them with tear gas and pepper spray as they tried to walk from a bridge to the presidential palace.

But the Taliban maintain the protest got out of control, according Afghan media outlet Tolo news.

It's the latest of several protests by women in Kabul and Herat.

The women were calling for the right to work and to be included in the government. The Taliban say they will announce the make-up of their administration in the coming days.

The Taliban have said women can be involved in government, but not hold ministerial positions.

Many women fear a return to the way they were treated when the Taliban were previously in power, between 1996 and 2001. Women were forced to cover their faces outside, and harsh punishments were meted out for minor transgressions.

"Twenty-five years ago, when the Taliban came, they prevented me from going to school," journalist Azita Nazimi told Tolo.
"After five years of their rule, I studied for 25 years and worked hard. For the sake of our better future, we will not allow this to happen."

Another demonstrator, Soraya, told Reuters: "They also hit women on the head with a gun magazine, and the women became bloody."

Source: BBC
 
Hawa wanawake mbona hawajawahi kuandamana kutaka majeshi ya Marekani yaondoke?
 
Kwahiyo wanawake hawatakiwi kuajiriwa??
Wataajiriwa lakini sio ministerial position., hawatakiwi kutembea uchi na ndivyo sharia za kiislam zinavyotaka, ni sawa tu, uku kwetu wanawake saa zote wanakata mbuno mabarabarani mpaka wamejitoa ladha., mwanamke ni chombo cha starehe wacha wajisitiri ndio sharia
 
Hilo la kutembea uchi hakuna anayelibishia.

Hoja hapa ni wanawake ni binadamu wana haki ya kuajiriwa na wana haki ya kutoka nje na kufanya matembezi kama wafanyavyo binadamu yoyote.

Kuna sababu yoyote ya maana ya kukataza wanawake kuajiriwa or kujiajiri na kufanya kazi halali?
 
Taliban wako sawa mambo ya haki sawa yamekuja kuleta shida kubwa Sana kwa mataifa yaliyo ingia kichwa kichwa kwenye agenda hizi maana imegeuka kuwa mashindano

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tanzania tuna rais KE halafu ni muislamu hao Taleban wakuje Tanzania wajifunze madharau ya dini wanaliyo achiwa na mwanzilishi wao, wanawake hawakubaliki kiuongozi huko nchi za sharia
 
Kitendo cha kusema vitabu vya dini kuwa vipo sawa muda wate na havipitwi na wakati kwenye baadhi ya mambo ni uongo

Kuna baadhi ya aya kwenye vitabu viliwakilisha mila na desturi za watu wa maeneo ambayo dini husika ilianzia na kwa nyakati zile za kizamani na hsikumaanisha kuwa ni Maelekezo wala maneno ya Mungu.

Suala la mavazi, kanzu kwa wakristu na waislamu hilo ni vazi la kawaida tuu kwa sehemu ambapo imani hizo zilianzia hazimaanishi kuwa ni amrisho la Mungu tuzae hivyo

Suala la mikate ilinayotumika kwenye biblia, suala la tende kwa waislam, divai kwa wakristu hivyo vyote ni vyakula na vinywaji vya asili vya sehemu dini hizo zilizoanzia na haimaanishi tukiviiga tutakuwa karibu na Mungu hapana , madhalani dini hizi zingeanzia Tanzania ungekuta maneno ya vyakula kama ugali, mlenda, makane nk na vinywaji kama togwa , mbege ulanzi nk

Suala la haki za mwanamke lilivyoandikwa kwenye vitabu hivi kweli ni kandamizi kabisaa hata kama atakuja mtafsiri na kusema kuna haki ni uongo, vitabu hivi kiasili viliendana na mila na desturi za jamii hizo na kwa wskati huo mwanamke alikuwa ni second degree human being na sio first kama mwanaume na wakati mwingine alionekana sio binaadamu bali kama mali ya mwanaume

Lakini kwa sasa dunia imebadilika, tayari wamejua haki zao hata wakifungiwa ndani ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono kuna social media wataibuka tuu

Kutegemea vitabu vya dini viwe ndio statute za kuongoza nchi wakati havina kipengele cha ammendment kwenye nyakati hizi za technology na information ni uongo
 
Hawa wanawake mbona hawajawahi kuandamana kutaka majeshi ya Marekani yaondoke?
Sasa ujio wa Marekani pale Taliban akina Mula na wenzake wote walikimbilia Pakistan na kwenye mapango unadhan kuna mwanamke ambaye angeweza kunyoosha kidole chake
 
Hilo la kutembea uchi hakuna anayelibishia.

Hoja hapa ni wanawake ni binadamu wana haki ya kuajiriwa na wana haki ya kutoka nje na kufanya matembezi kama wafanyavyo binadamu yoyote.

Kuna sababu yoyote ya maana ya kukataza wanawake kuajiriwa or kujiajiri na kufanya kazi halali?
Narudia wataajiriwa lakini kazi ambazo zitatunza heshima yao kama ilivyotaka sharia sio kuji expose kwenye televisheni na yenye mfano wa hayo.,

Nani kakwambia hawatatoka nje? Nje watatoka lakini sharti ni lile lile kama ilivyotaka sharia za kiislamu kuvaa nguo za heshima ambazo hazitaonyesha maungo yao kwa kutamanisha lakini kuficha na nyuso zao sio kama mulivyozoea hapo bongo.
 
Back
Top Bottom