Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

Ni kweli Sharia Law haiendani na wakati tulionao, hiyo ilikuwa ni ya karne ya saba sasa kuilazimisha leo ni kitu ambacho hakiwezekani na ndio maana hao waislamu wanakimbilia uzunguni kwa sababu ya hizo sheria za kijinga jinga.

Mwanamume yeyote eti kama ukiona mwanamke amevaa nguo imebana eti wewe tayari mwili unasisimka basi unatakiwa ukapimwe akili kwani huo ni ugonjwa.

Tulisoma shuleni na wanawake tena tukichangia madawati lakini mbona hatukuwa na tatizo lolote. Kuna imani zingine ni za kipuuzi sana na hazina kabisa maana.
 
Mkuu ,punguza jazba kidogo.
 
Wanawake wangapi ? 100 tuu ? Ina maana Afghanistan kuna wanawake kidogo namna hii. Acheni propaganda, bana. Hao Taaliban ndio wafaa katika iyo nchi. Sio vile vijitu vichache vikiendeshwa mbio na wamarekani/wamagharibi.
 
Marekani mhuni Sana , kawaachia tatizo , wakulane wao Kwa wao ...!!!
 
Hawa wanawake mbona hawajawahi kuandamana kutaka majeshi ya Marekani yaondoke?
Wakati majeshi ya marekani yapo pale wanawake walikuwa nawapata haki sawa na wanaume, waliruhusiwa kusoma, kufanya biashara, kuajiriwa , kitembea tofauti na baada ya majeshi kuondoka
 
Hawa jamaa Mimi wananichanganya Hivi mtume wao si ndio alioa mwanamke mpambanaji na alimzidi Hadi jamaa umri na pesa?
Hizo sheria za kusema wanawake wakae nyumbani wanazitoa wapi maana naona Kama wameenda mbali Kwa kuongeza mambo Yao au Mimi ndio sijui?
 
Hahaaaha jamaa usichimbe ndani sana sasa tuyaonge juujuu aya mambo
 

na kweli dini hizi zingeanzishwa tanzania biblia na Quraan zingekuwa na aya za kuhamasisha ngono na ufisadi na chuki. ndio maana mungu alichagua nchi za kuleta dini na kuchaguwa manabii katika nchi hizo . na mbona hamlalamiki mungu hakuchagua nabii yoyote au mtume yeyote mwanamke lalamikeni na hilo.
 

mbona walimu mnawafunga wanawatia mimba wasichana wa shule mbona wanafunzi wa kiume mnawahukumu jela miaka 30 kwa kuwatia mimba wasichana wa shule yote kwa sababu ya kusoma pamoja mvulana na msichana .namwalimu wa kiume wanapata nyege kwa kumsomesha mtoto wa kike. au hakuna kesi hizo
 
mnataka 50/50 sawa na wanaume sijaona wanawake mnaomba kazi bandarini ya kushusha magunia mgongoni kama wanaume si mnataka 50/50. au mkaombe ushekhe msikitini muwe mnatusalisha siku ukiwa na mimba hatusali mpaka ujifungue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…