Huyo mke alimuoa kipindi bado anahaso kutafuta life..ila alipo tusua Na kupata followers akamuongezea wake wengine 8 akaanza kulala Na Kila mtu aliyemuona mzuri mtaani Na watumwa wake/housegirl aliwabaka Sana...baadaye ndo akaondoa mambo ya haki sawaHawa jamaa Mimi wananichanganya Hivi mtume wao si ndio alioa mwanamke mpambanaji na alimzidi Hadi jamaa umri na pesa?
Hizo sheria za kusema wanawake wakae nyumbani wanazitoa wapi maana naona Kama wameenda mbali Kwa kuongeza mambo Yao au Mimi ndio sijui?
[emoji23][emoji23]Wewe utakuwa hujaenda hata shulembona walimu mnawafunga wanawatia mimba wasichana wa shule mbona wanafunzi wa kiume mnawahukumu jela miaka 30 kwa kuwatia mimba wasichana wa shule yote kwa sababu ya kusoma pamoja mvulana na msichana .namwalimu wa kiume wanapata nyege kwa kumsomesha mtoto wa kike. au hakuna kesi hizo
Mbona Biblia Kuna mtume wa kikena kweli dini hizi zingeanzishwa tanzania biblia na Quraan zingekuwa na aya za kuhamasisha ngono na ufisadi na chuki. ndio maana mungu alichagua nchi za kuleta dini na kuchaguwa manabii katika nchi hizo . na mbona hamlalamiki mungu hakuchagua nabii yoyote au mtume yeyote mwanamke lalamikeni na hilo.
Unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili? Nani kakudanganya hayo madhambi uliyoyataja huko uarabuni na izrael zilipochipikia dini hizo hazipo? nani kakudanganya kuwa huko mi mbinguni na sii duniani? Nimezungumzia mambo ya kitamaduni ikiwemo chakula ,mavazi, vinjwaji na nafasi ya mwanamke katka jamiina kweli dini hizi zingeanzishwa tanzania biblia na Quraan zingekuwa na aya za kuhamasisha ngono na ufisadi na chuki. ndio maana mungu alichagua nchi za kuleta dini na kuchaguwa manabii katika nchi hizo . na mbona hamlalamiki mungu hakuchagua nabii yoyote au mtume yeyote mwanamke lalamikeni na hilo.
kuliko waafrica?
Mkuu wa Afghani sio Waarabu ni jamii ya Waajemi naWaarabu ni race ya watu wajinga Zaidi duniani
Mkuu wa Afghani sio Waarabu ni jamii ya Waajemi na
Waamedi.
Nitajie imani/dini/tamaduni moja wapo ya kiafrika inayo hamasisha ngono na ufisadi na chuki.na kweli dini hizi zingeanzishwa tanzania biblia na Quraan zingekuwa na aya za kuhamasisha ngono na ufisadi na chuki. ndio maana mungu alichagua nchi za kuleta dini na kuchaguwa manabii katika nchi hizo . na mbona hamlalamiki mungu hakuchagua nabii yoyote au mtume yeyote mwanamke lalamikeni na hilo.
Nchi zipi hizo zilizopata shida ya kuwa na haki sawa?Taliban wako sawa mambo ya haki sawa yamekuja kuleta shida kubwa Sana kwa mataifa yaliyo ingia kichwa kichwa kwenye agenda hizi maana imegeuka kuwa mashindano
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hilo la kutembea uchi hakuna anayelibishia.
Hoja hapa ni wanawake ni binadamu wana haki ya kuajiriwa na wana haki ya kutoka nje na kufanya matembezi kama wafanyavyo binadamu yoyote.
Kuna sababu yoyote ya maana ya kukataza wanawake kuajiriwa or kujiajiri na kufanya kazi halali?
Kwa hiyo wasiposoma ndio hawatashika hizo mimba..!!mbona walimu mnawafunga wanawatia mimba wasichana wa shule mbona wanafunzi wa kiume mnawahukumu jela miaka 30 kwa kuwatia mimba wasichana wa shule yote kwa sababu ya kusoma pamoja mvulana na msichana .namwalimu wa kiume wanapata nyege kwa kumsomesha mtoto wa kike. au hakuna kesi hizo
Hoja ya kitoto sana hii. Wakina nani watakao waiba? Kwann waibiwe? Kipi kinachopelekea wao kuibiwa? Je wakifichwa ndani ndio hawaibiwi?Watembee nje wenyewe bila ulinzi, halafu wakiibwa nani aanze kuhangaika kuwatafuta.
Vitabu vya dini huandikwa kufit mazingira na nyakati. Ndio maana Quran ilitumia miaka 23 hadi kukamilika na ilikuwa ikitoa maagizo kadri mambo yanavyojitokeza. Hivyo vitabu vya dini, ni kweli hupitwa na wakati.Kitendo cha kusema vitabu vya dini kuwa vipo sawa muda wate na havipitwi na wakati kwenye baadhi ya mambo ni uongo
Kuna baadhi ya aya kwenye vitabu viliwakilisha mila na desturi za watu wa maeneo ambayo dini husika ilianzia na kwa nyakati zile za kizamani na hsikumaanisha kuwa ni Maelekezo wala maneno ya Mungu.
Suala la mavazi, kanzu kwa wakristu na waislamu hilo ni vazi la kawaida tuu kwa sehemu ambapo imani hizo zilianzia hazimaanishi kuwa ni amrisho la Mungu tuzae hivyo
Suala la mikate ilinayotumika kwenye biblia, suala la tende kwa waislam, divai kwa wakristu hivyo vyote ni vyakula na vinywaji vya asili vya sehemu dini hizo zilizoanzia na haimaanishi tukiviiga tutakuwa karibu na Mungu hapana , madhalani dini hizi zingeanzia Tanzania ungekuta maneno ya vyakula kama ugali, mlenda, makane nk na vinywaji kama togwa , mbege ulanzi nk
Suala la haki za mwanamke lilivyoandikwa kwenye vitabu hivi kweli ni kandamizi kabisaa hata kama atakuja mtafsiri na kusema kuna haki ni uongo, vitabu hivi kiasili viliendana na mila na desturi za jamii hizo na kwa wskati huo mwanamke alikuwa ni second degree human being na sio first kama mwanaume na wakati mwingine alionekana sio binaadamu bali kama mali ya mwanaume
Lakini kwa sasa dunia imebadilika, tayari wamejua haki zao hata wakifungiwa ndani ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono kuna social media wataibuka tuu
Kutegemea vitabu vya dini viwe ndio statute za kuongoza nchi wakati havina kipengele cha ammendment kwenye nyakati hizi za technology na information ni uongo
Mungu hakuleta dini. Na hakuna jamii ambayo haikuwa na dini.na kweli dini hizi zingeanzishwa tanzania biblia na Quraan zingekuwa na aya za kuhamasisha ngono na ufisadi na chuki. ndio maana mungu alichagua nchi za kuleta dini na kuchaguwa manabii katika nchi hizo . na mbona hamlalamiki mungu hakuchagua nabii yoyote au mtume yeyote mwanamke lalamikeni na hilo.
Watu wengi wanaishi maisha ya kisasa kabisa tofauti na maisha ya kijima ambavyo vitabu hivyo vinaelekeza yamebaki maigizo ya kujionyesha kwenye swala na mavazi tuuVitabu vya dini huandikwa kufit mazingira na nyakati. Ndio maana Quran ilitumia miaka 23 hadi kukamilika na ilikuwa ikitoa maagizo kadri mambo yanavyojitokeza. Hivyo vitabu vya dini, ni kweli hupitwa na wakati.
Kimsingi kadri siku sayansi na teknolojia inavyozidi kukua, dini hizi zinapoteza maana kwenye maisha ya watu! Pengine tutegemee mitume wapya, watakaoendana na hali ya sasa ya dunia.Watu wengi wanaishi maisha ya kisasa kabisa tofauti na maisha ya kijima ambavyo vitabu hivyo vinaelekeza yamebaki maigizo ya kujionyesha kwenye swala na mavazi tuu
Hoja ya kitoto sana hii. Wakina nani watakao waiba? Kwann waibiwe? Kipi kinachopelekea wao kuibiwa? Je wakifichwa ndani ndio hawaibiwi?
Ubakaji, uzalilishaji wa kingono upo tu atakama wakifungiwa ndani maana wazalilishaji ndio hao hao wanao wafungia ndani wanawake
Ww ndio ujaelewa ila mm nilikiwa namaanisha ww ulicho maanisha.Bro, hapo ni hoja 2 tofauti. Mimi naongelea kuibwa wenyewe. Halafu wewe unaongelea kuibiwa, sijui mali zao. Hivyo kajipange, uje tena ili tuwe na uelewa wa pamoja.
Ww ndio ujaelewa ila mm nilikiwa namaanisha ww ulicho maanisha.
Sijaongelea kuibiwa kwa mali bali nimeongelea kuibiwa kwa hao wanawake(kidnapped/abducted)
Kwaiyo usikwepe