Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

Ww ndio ujaelewa ila mm nilikiwa namaanisha ww ulicho maanisha.
Sijaongelea kuibiwa kwa mali bali nimeongelea kuibiwa kwa hao wanawake(kidnapped/abducted)
Kwaiyo usikwepe
Wewe unaongelea kuibiwa, mimi naongelea kuibwa. Bado hatuelewani.
Hayo maneno kidnapped na abducted uliyaona na kuyaelewa vizuri uliposoma comment?
 
Unaweza ukawa sahihi ni kweli dunia imebadilika na mimi naamini hata haya mahusiano ya jinsia moja ambayo tunayapinga sasa hivi kwa kutumia mitazamo ya hizi dini kwa kuona ushoga/usagaji ni mbaya au kwa kutumia mitazamo yeyote ile kupinga aina hiyo ya mahusiano ni kwamba ipo siku tutakuja kuyakubali hayo mahusiano na kuyaona ni kitu cha kawaida na ni sahihi maana ndipo dunia inaelekea huko hivyo lazima tu tuende nayo.
 
Acha upumbavu sijazungumzia vitu ambavyo ni kinyume na nature ambavyo kiasili maķabila na jamii zozote hata za wanyama hawafanyi. Nimezungumzia suala la mavazi, chakula na heshima ya mwanamke katika jamii kama binadamu aliyekamilika na mwenye uhuru kama mwanaume
 

Inategemea kwa sheria zipi. Kwa sheria za Kimagharibi mwanamke yupo huru kufanya chochote hata kuuza mwili wake.
 
Wanyama hawana akili si mfano mzuri sie binaadamu kuutumia kutoka kwao na ndio maana mnyama kumpanda mama yake ni kawaida tu, sasa kama wanyama hawafanyi hivyo si kwa sababu wana akili ya kujua kuwa hilo jambo baya na ndio maana hata mbwa wanafanya mapenzi na binaadamu ni suala la kuwazowesha tu. Ngono ni starehe sasa kusema ni kinyume na nature maana yake nini?
Ni suala la muda tu kulikubali hili jambo na hiyo misimamo ya kwamba sijui ni dhambi au kinyume na nature itabaki kuwa ni mambo ya kizamani tu.

Lazima tuwe na mawazo huru sio tunafungwa na mitazamo ya kizamani au misimamo ya dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…