Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Kibaya zaidi hao hao single mother baadhi wameharibu ndoa zao na wanaendelea kuharibu za wengine although kuna wachache walio amua kuachana na wanaume wao kwa ajili ya ukorofi wa wanaume wao hawa huwezi kuwasikia wakitia vurugu mtaani na wengi wao huwa wanaolewa tena.
 
hayo ni makundi ya baadhi ya wanawake walio kosa waume mpaka wamkutwa na utu uzima matokeo yake kukejeli walio olewa hili waachike wafanane hao
 
Wanaobuni haya matamasha ni wanawake walioenda shule hawa ndiyo wanaanda program mbalimbali na mafunzo juu ya kuishi bila utegemezi wa mwanaume.
Wengi wao wanakuwa wanafanya kazi kwenye NGo
Kifupi ni ngumu sana mwamamke kuishi bila utegemezi wa mwanaume hata kwa ushauri tu. Asipomtegemea mwanaume kapuku atamtegemea aliyemzidi uwezo wa kifedha, elimu au mali that is nature.
 
[emoji354][emoji354][emoji786][emoji2211][emoji2095][emoji2095]
 
Kaka, vipi tena unataka kuniaharibia ulaji wangu? Mke, watoto wananitegemea kwenye kula na ada, Sasa ukihamasisha event yangu kufungwa si utaongeza masingo maza kwa mimi kumuacha mke wangu kisa njaa?
 
Wanaobuni haya matamasha ni wanawake walioenda shule hawa ndiyo wanaanda program mbalimbali na mafunzo juu ya kuishi bila utegemezi wa mwanaume.
Wengi wao wanakuwa wanafanya kazi kwenye NGo
Wala sikupingi mzee, hivi vitu ni ajenda toka juu huko.. Kwanini niolewe, sijui kimeenda kimerudi, nikaona hili jambo litakuwa kubwa kama ushoga tu.
 
Hamna lolote sio heshima mnayotafuta kwenye ndoa...mnataka tuu kuhudumiwa mule hela zetu. Hapa sasa ni mwendo wa mizagamuano baada ya hapo kila mtu akasake hela zake.
🤣🤣🤣🤣🤣
Hatarii na nusuu
 
Umenikumbusha ya Joyce Kiria.
Alituponda sana wanaume, alipopata kidume amefungwa mdomo.
Mwanamke asipozibwa mdomo mmoja mdomo wa juu unaongea sana.
Nisamehe rafiki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hatari sana na mambo yao waachie wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…