Kumbe nawe ni wa hovyo[emoji16]Hamna lolote sio heshima mnayotafuta kwenye ndoa...mnataka tuu kuhudumiwa mule hela zetu. Hapa sasa ni mwendo wa mizagamuano baada ya hapo kila mtu akasake hela zake.
Madhara ya kuto kulelewa na wazazi wote hayo[emoji16][emoji16][emoji16]Hamna lolote sio heshima mnayotafuta kwenye ndoa...mnataka tuu kuhudumiwa mule hela zetu. Hapa sasa ni mwendo wa mizagamuano baada ya hapo kila mtu akasake hela zake.
Na inaumiza si utani,ukifikiria anakutumia tu na kukuachia ya sabuni,,,,,then mipango anaenda panga na mkewe huko[emoji16]Ndo maana yake, kujifanya wanaponda ndoa ila ndani wanaumia sana kutumika kwa wenye wake zao
Kataa uzinifu,KATAA NDOA
Kama wewe tuuKumbe nawe ni wa hovyo[emoji16]
Mie nimelelewa na mama wa kambo wewe na mzeeMadhara ya kuto kulelewa na wazazi wote hayo[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole
Yani unafanywa kama kipozeo, na tena unasuguliwa haswa panaishilia lakini mkewe ndo anapewa heshima zote, inauma acha tuNa inaumiza si utani,ukifikiria anakutumia tu na kukuachia ya sabuni,,,,,then mipango anaenda panga na mkewe huko[emoji16]
Wanaumia haswaaa.
Debe tupu hilo achana naloMadhara ya kuto kulelewa na wazazi wote hayo[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole
#KATAANDOAKatika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Ulikataa Ndoa Means unataka kuolewa!!#KATAANDOA
Kwani ukiolewa sio ndoa?[emoji13][emoji13]Ulikataa Ndoa Means unataka kuolewa!!
HajielewiDebe tupu hilo achana nalo
Inauma lkn basi tu hatuishi kujifariji kisa mia mia za vocha,Yani unafanywa kama kipozeo, na tena unasuguliwa haswa panaishilia lakini mkewe ndo anapewa heshima zote, inauma acha tu
Siku hizi ndoa ni kati ya mwanamke na "pesa za mwanaume" sio ndoa kati ya mwanamke na mwanaume tena. Utasikia mabinti wakisema ”mimi siwezi kuolewa na mwanaume asie na gari"😂😂🤣🤣Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Tatizo linaanzia hapoSiku hizi ndoa ni kati ya mwanamke na "pesa za mwanaume" sio ndoa kati ya mwanamke na mwanaume tena. Utasikia mabinti wakisema ”mimi siwezi kuolewa na mwanaume asie na gari"😂😂🤣🤣
Ukiolewa na mwanaume mwenzioKwani ukiolewa sio ndoa?[emoji13][emoji13]
Kauli kuu huwa ni ninsingekuwa nimeoa ningekuoa ndo kashaoa sasa hasira inahamia kuponda ndoa,, ni mwanamke gani asieitaka ndoa,, anyooshe mkono😅😅Inauma lkn basi tu hatuishi kujifariji kisa mia mia za vocha,
Wanawake tuna shida
Wanaenda kutiana moyoKatika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?