Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Hamna lolote sio heshima mnayotafuta kwenye ndoa...mnataka tuu kuhudumiwa mule hela zetu. Hapa sasa ni mwendo wa mizagamuano baada ya hapo kila mtu akasake hela zake.
Kumbe nawe ni wa hovyo[emoji16]
 
Na inaumiza si utani,ukifikiria anakutumia tu na kukuachia ya sabuni,,,,,then mipango anaenda panga na mkewe huko[emoji16]

Wanaumia haswaaa.
Yani unafanywa kama kipozeo, na tena unasuguliwa haswa panaishilia lakini mkewe ndo anapewa heshima zote, inauma acha tu
 
Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?

Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.

Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.

Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!

Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
#KATAANDOA
 
Siku hizi ndoa ni kati ya mwanamke na "pesa za mwanaume" sio ndoa kati ya mwanamke na mwanaume tena. Utasikia mabinti wakisema ”mimi siwezi kuolewa na mwanaume asie na gari"😂😂🤣🤣
 
Tatizo linaanzia hapo
 
Inauma lkn basi tu hatuishi kujifariji kisa mia mia za vocha,

Wanawake tuna shida
Kauli kuu huwa ni ninsingekuwa nimeoa ningekuoa ndo kashaoa sasa hasira inahamia kuponda ndoa,, ni mwanamke gani asieitaka ndoa,, anyooshe mkono😅😅
 
Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?

Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.

Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.

Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!

Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Wanaenda kutiana moyo
 
Back
Top Bottom