Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

sijakupata vizuri unasema wanagroup lao la kufundishana ujinga?
Inamaana wewe ni member wa hilo group hivyo unajua wanayo yajadili?

Binafsi nawaona wale ni watu tu kama watu wengine; baadhi wamefiwa na waume, wengine wamezalishwa na kutelekezwa, wengine wamepewa talaka nk
Sasa wakishirikishana changamoto na kusaidiana sijaona tatizo hapo. Kimsingi wengi hawapendi kuendelea kuwa single mother/ wanatafuta waume, sasa sijui tatizo Liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…