Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #141
Na kufanya recruitmentWanaenda kutiana moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kufanya recruitmentWanaenda kutiana moyo
Ni wajanja wako strategicNa kufanya recruitment
sijakupata vizuri unasema wanagroup lao la kufundishana ujinga?Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!
Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Tuna upeo mdogo sana sana! Nimeshindwa nikujibujesijakupata vizuri unasema wanagroup lao la kufundishana ujinga?
Inamaana wewe ni member wa hilo group?