Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro halikuandaliwa Kichagga

Kwanini yeye kajiita chui jike na hamjamuita manka?
 
Kati ya Sehemu watumishi wanapigia fedha Za Umma ni kwenye kuandaa ” Matamasha “ haraka sana yasitishwe.
 
Akili mbovu kabisa za Chirwa mleta mada ambae sio mchaga. Haikua Kwa sababu ya wachaga tu kuna wapare masai waarusha Na wengine. Tumia kichwa kufikiri Wewe.
Wewe fisi 2 uwezo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia kwenye kichwa cha Post! Kichwa cha Post hutumika kushawishi kusomwa habari inayokusudiwa tu, mengine utayakuta ndani ya habari yenyewe. Ndani ya habari hakuna nilipozungumzia kuhusu wachaga tu, ungeisoma Post usingeleta ufisi wako hapa.
 
Si turudishe uchfukwanza na wadau wataarifiwa kuwa uliofutwa awamu ya kwanza umerudishwa,machifu wengine wa enzi walikuwa wadhumati na Leo hii vizazi vyao vimepotea,Tuanze na chagga day au warudishe zilizokuwa Mali za machifu(kdc)na matambiko yasiyoendana na ustaarabu wa dini za sasa. . .
 
Si turudishe ufufuo kwanza na wadau wataarifiwa kuwa ufufuo uliofutwa awamu ya kwanza umerudishwa,machifu wengi wa enzi hizo walikuwa wadhumati na Leo hii vizazi vyao vimepotea,Tuanze na chagga day au warudishe waliokua Mali za machifu(kdc)na matambiko yasiyoendana na ustaarabu wa dini za sasa
 

Hivi kule hajapewa jina kama la Hangaya kule?
 
Ninaomba sifa Za mtu kuwa chief wa sehemu Fulani?

Je unatakiwa uwe na Elimu gani? Unatakiwa uwe na umri gani?

Je uchief unaridhiwa au unapigiwa kura?

Je Rais samia ni Mzanzibari anaweza kupewa umwinyi huko Zanzibar?

Mavazi ya uchief kwa mwanamke dini ya Uislam yanaendana?
 
Wanathamini sana Kilimanjaro yao. Katika group moja la whatsapp mchagga mmoja alitualika krismas Moshi.

Watu kwa kuogopa covid19 hatukwenda, kila siku haishi kulalamika kwamba tumemdharau kwa namna alivyotukaribisha kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…