Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Oooi, nchi inaendelea kuchezewa.
Hawa wanaokuja na matamasha wakamatwe washtakiwe haraka na mapema.
Sheria zinavunjwa bila aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooi, nchi inaendelea kuchezewa.
Hahaha[emoji23]Huyu Bibi Mwisho wa siku atakuja kubaki na uchief atawaachia wengine Urais
Na yote ni sabab ya ulaji tuu. HatarCCM ni kama Nsyuka.
Wao wakipata chance hata msibani jeneza wanaweza kulipaka mirangirangi yao ya Kijani..
View attachment 2091345
Tuliomba tufanye la ushirikina wakatubaniaMatamasha yatasambaa nchi nzima
Wewe fisi 2 uwezo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia kwenye kichwa cha Post! Kichwa cha Post hutumika kushawishi kusomwa habari inayokusudiwa tu, mengine utayakuta ndani ya habari yenyewe. Ndani ya habari hakuna nilipozungumzia kuhusu wachaga tu, ungeisoma Post usingeleta ufisi wako hapa.Akili mbovu kabisa za Chirwa mleta mada ambae sio mchaga. Haikua Kwa sababu ya wachaga tu kuna wapare masai waarusha Na wengine. Tumia kichwa kufikiri Wewe.
Si turudishe uchfukwanza na wadau wataarifiwa kuwa uliofutwa awamu ya kwanza umerudishwa,machifu wengine wa enzi walikuwa wadhumati na Leo hii vizazi vyao vimepotea,Tuanze na chagga day au warudishe zilizokuwa Mali za machifu(kdc)na matambiko yasiyoendana na ustaarabu wa dini za sasa. . .Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!
Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kuona mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanamanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali ingawaje Tamasha limetumika kuwagua baadhi ya wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa. . .
Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Si turudishe ufufuo kwanza na wadau wataarifiwa kuwa ufufuo uliofutwa awamu ya kwanza umerudishwa,machifu wengi wa enzi hizo walikuwa wadhumati na Leo hii vizazi vyao vimepotea,Tuanze na chagga day au warudishe waliokua Mali za machifu(kdc)na matambiko yasiyoendana na ustaarabu wa dini za sasaNi wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!
Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kuona mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanamanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali ingawaje Tamasha limetumika kuwagua baadhi wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa. .
Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!
Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, hata hivyo wanakilimanjaro hawakuwa wana-CCM walikuwa wana-Kilimanjaro bila kujali vyama ingawaje Tamasha limetumika kuwabagua baadhi wanakilimanjaro wasio wana-CCM, kampeni hii haina tija kwa taifa.
Inaelekea CCM imekuja na staili ya kuwatumia watu wanaojiita machifu ili ijipatie umaarufu, ukweli utabaki ukweli hatuna machifu Tanzania kulingana na katiba ya nchi.
Wanathamini sana Kilimanjaro yao. Katika group moja la whatsapp mchagga mmoja alitualika krismas Moshi.Wapare wa Moshi wapo acha ushamba ndugu na ujinga, na walikua na maeneo ukija eneo la Moshi vijijini maeneo ya tambarare Kuna wapare na wamasai wachaga wako milimani, Moshi mjini Kuna watu wamezaliwa pale na sio wachaga Leo hii huwezi waambia sio kwao, Ila kitu nachofahamu hakuna watu wabaguzi na wabinafsi kama wachaga
Ili swala la wapare kusema wanaenda Moshi nawakati wanaenda upareni walioharibu ni watu wa magari hata ukiwa unashukia Mwanga wanakuandikia kwenye tiketi Moshi au Arusha ndo maana wapare wakasema wanaenda moshi
Asante ila kwa sasa hatuendi na katiba mpaka hapo uchumi utakapo imarika.