KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
MasaburiNosense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MasaburiNosense
Sizonje ni mwoga sana kupita kiasi[
Tunazungumzia uhai wa mtu mnaleta siasa na vichwa maboga! Watapotea na kufa wengi lakini wanatangulizwa tu. Hata wanaowaua watakufa tu! kwa Saddam na Ghadaffi wako wapi?Masaburi
Tunazungumzia uhai wa mtu mnaleta siasa na vichwa maboga! Watapotea na kufa wengi lakini wanatangulizwa tu. Hata wanaowaua watakufa tu! kwa Saddam na Ghadaffi wako wapi?Masaburi
Naongezea kwa msisitizo na full stop nyingineBashite anajua Roma na Benn walipo fullstop
Swissme
Anatakiwa aminywe...Bashite anajua Roma na Benn walipo fullstop
Swissme
Salary Slip, mimi sina hulka ya kukata tamaa lakini tunapozungumzia 2020, maswali ya msingi yanakuja. Je, wakati huo tutakuwa na tume huru ya uchaguzi? Je, katiba iliyopendekezwa itaruhusu uchaguzi wa raisi kupingwa mahakamani. Muda umesonga sana na ni muhimu tukaanza kufikiria namna nyingine kwa ajili ya 2020.Waacheni waendelee na viburi vyao watakiona cha moto 2020.
Kwa Tume hii hii ya Lubuva na Katiba hii? Ya Zanzibar hayatoshi kukupa majibu?Waacheni waendelee na viburi vyao watakiona cha moto 2020.
Leo wao kesho wewe!!Watu waendelee kunyooshwa tu.
Mara nyingi nyimbo zake hutaja maovu ya serikaliKwani anamakosa gani huyu jamaa hadi upoteaji wake uhusishwe na siasa? Wengine tumeshindwa kuelewa nini hasa logic ya harmorapism hii
Huyu wakati anayooshwa Nape labda alisafiriLeo wao kesho wewe!!
Mzaha mzaha kidonda hutunga USAHA!Roma sio tishio kwa usalama wa nchi Serikali haihangaiki na watu kama hao.
Roma anajuana na waliomchukua maana walichukuana kimya kimya mpaka na vyombo vya producer
Serikali ina mengi sana ya kufanya Roma ni mtu mdogo sana kwa Serikali ila Serikali haikubalini na hivi vikundi vya kupoteza watu kwa mtundo kama huu.
Nchi iko ktk hali ya amani tu siyo kama DRC ambako kuna matukio kama haya kila wakati na wenyewe ni kudai fidia wana kuwa mtaji wa pesa hao mateka
Tuache kubuni kubuni tu mambo ambayo hayatusaidii kabisa.
Polisi wamesema hawahusi.Na kwa nini wote watano wachukuliwe kama kukuona hata kupiga kelele hakuna kwanini kama hao watu hawajulikani??
Wanavamia Nyumbani kwake watu 53mkwani wananchi wakitaka kiongozi ajiuzulu huwa wanafanyaje??
Bro nimeuliza kwanza Roma amekosea nini hasa hadi upoteaji wake uhusishwe na siasa? Nikajibiwa na kichwa boga mwenzio "nonsense " sasa sijui nadhani kila mtu huwa anajua mambo ya wasanii humu ndani.Tunazungumzia uhai wa mtu mnaleta siasa na vichwa maboga! Watapotea na kufa wengi lakini wanatangulizwa tu. Hata wanaowaua watakufa tu! kwa Saddam na Ghadaffi wako wapi?
ROMA ni mtu mdogo sana lakini Ney wa Mitego ni mtu mkubwa sana! Haiwezekani ukawa hujatumwa!Roma sio tishio kwa usalama wa nchi Serikali haihangaiki na watu kama hao.