Dada unaushahidi??Kwa asilimia 100 Bashite na Sizonje wana husika na mauaji na upoteaji wa vijana wa Upinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada unaushahidi??Kwa asilimia 100 Bashite na Sizonje wana husika na mauaji na upoteaji wa vijana wa Upinzani
Acha ujingaHayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.
Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.
Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.
Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.
Magufuli oyeeeeeee
We limwanamke hivi una mme kweli wewe muda wote kushinda humu kuandika uharo mtupu.Mmmmmh
Wawakamate wawaeleze, nani amekuambia kukamatwa ndio kutendwa mabaya au kuhusishwa na jambo baya!? Kuna kohojiwa na kwenda kwako.
Hayo makaratasi ni ya uchochezi hakuna lingine, na kuwa watu nyuma yake.
Hii drama yote ni movie tu iliyopangwa.
Hahahaa mabango yamefanana na yameprintiwa kabisa, mbona kama hiyo moment ilisetiwa?View attachment 492447 kwa ambao hamjaangalia .oneni wananchi walivyocharuka.
Yani sina undugu nae lakini Nina wasiwasi kama niniSijui kwanini kadri muda unavyozidi kwenda ndio naona kuna ugumu wa hawa watu kupatikana wakiwa hai!
Kwasababu wakiachiwa watasema walikuwa wapi?
Na huyo mtekaji atakuwa anaona atachukuliwaje?
Na alimteka kwa lengo lipi?
Eeee Mungu saidia vijana hawa huko waliko wawe hai
Kwani mkuu ni siri kwamba Roma katekwa? Unashangaa mabango mbona hujashangaa press conference?Hahahaa mabango yamefanana na yameprintiwa kabisa, mbona kama hiyo moment ilisetiwa?
BTW siungi mkono kutekwa kwa Roma2030 na kupotea kwa Ben Saanane
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kama vile kura zote unazipiga wewe.kauawawa Mwangosi mliandamana nchi nzima na kuapa kuiadabisha ccm.Huwezi kwenda ikulu kwa kutumia tukio la kupotea kwa RomaWaacheni waendelee na viburi vyao watakiona cha moto 2020.
cocochanel hakuna kisichopangwa , hili siyo tukio la siri unanishangaza unaposhangaa mabango yamekua arranged kwanini hujaulizia press conference iliyofanyika leo? Open up your mind honey.Hayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.
Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.
Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.
Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.
Magufuli oyeeeeeee
Serikali ilianza na Dr Ulimboka, wananchi wakakaa kimya, ikaja kwa Ben Saanane, wananchi kimya, sasa kwa Roma!!Hii inanikumbusha kipindi cha Idd Amin Dada, waganda waliokua wanaikosoa serikali walikua wanapotea kwa staili hii.Watanzania tuamke utawala wa ccm umekwisha choka.Kama Nape kwa kujipendekeza kote na kujitotoa kote katumbuliwa kisa Bashite, sisi je??Magu Must Go!![HASHTAG]#MMG[/HASHTAG]Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA
Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia mabango waziri aseme chochote.
Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
katekwa na nani,je kama wamedhulumiana hukoKwani mkuu ni siri kwamba Roma katekwa? Unashangaa mabango mbona hujashangaa press conference?
Mlisema kuwa kushindwa kwa lowasa kutafanya nchi isitawalike, na sasa mnaendelea na kampeni hiyo na hilo tumelijua. You are playing a fuckin dirty game ambayo kamwe hamtashinda nyambafHiyo propanganda hailipi ndg, watu hawajasahau juzi mlimkamata Ney
K mbichi wewe huna jipya, kampeni mbovu za kueneza chuki zimefeli. Ya Maxence Melo tulikua pamoja lakini kwenye hili la kutuvurugia amani yetu kamwe hamtashinda. We love our country na sio nyie nyambafWewe ndo nyuki wa mashineni kweli !!
Serikali sikivu!?!? Au wewe uko uingeleza!?!?
ANtony mavunde siyo naibu waziri wa habari utamaduni na watoto ( naibu ni ANAStAZIA WAMBURA) MAVUNDE ni naibu ofisi ya waziri mkuu kazi, bunge walemavu ajira na vijanaKatika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA
Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia mabango waziri aseme chochote.
Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
Wanaoteka watu eanajulikana ni serikali ya CCM. Hata juzi hapa ney wamitego alitekwa morogoro, Dr.ulimboka nae alitekwa. Wanaodhulimiana wanapelekana Polisi. Hii style ni ya CCM kabisa nabinajulikana nchi nzima wanawateka wanaokosoa serikali na kuwaua kama walivyomfanya Ben saa 8katekwa na nani,je kama wamedhulumiana huko
Polisi si walishasema kuwa hawajui alipo? Au polisi wapi hao tena!?Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA
Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia mabango waziri aseme chochote.
Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
MWISHO wa uovu udhalimu udikiteta umangi meza uonevu na uchafu wote kwa wanaodhani wao ni MIUNGU watu umekaribia tena umefika hauko mbali mwenye akili na asikieView attachment 492447 kwa ambao hamjaangalia .oneni wananchi walivyocharuka.