TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

Hayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.

Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.

Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.

Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.

Magufuli oyeeeeeee
Acha ujinga
 
Hivi mavunde ni kweli ni naibu wazir wa michezo?

Na naibu wazir wa kazi ajira na vijana ni nani?
 
Mmmmmh

Wawakamate wawaeleze, nani amekuambia kukamatwa ndio kutendwa mabaya au kuhusishwa na jambo baya!? Kuna kohojiwa na kwenda kwako.

Hayo makaratasi ni ya uchochezi hakuna lingine, na kuwa watu nyuma yake.

Hii drama yote ni movie tu iliyopangwa.
We limwanamke hivi una mme kweli wewe muda wote kushinda humu kuandika uharo mtupu.
 
View attachment 492447 kwa ambao hamjaangalia .oneni wananchi walivyocharuka.
Hahahaa mabango yamefanana na yameprintiwa kabisa, mbona kama hiyo moment ilisetiwa?

BTW siungi mkono kutekwa kwa Roma2030 na kupotea kwa Ben Saanane
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Litatoa taarifa punde, after 48 hours kupita they CNT be serious
 
Sijui kwanini kadri muda unavyozidi kwenda ndio naona kuna ugumu wa hawa watu kupatikana wakiwa hai!
Kwasababu wakiachiwa watasema walikuwa wapi?
Na huyo mtekaji atakuwa anaona atachukuliwaje?
Na alimteka kwa lengo lipi?

Eeee Mungu saidia vijana hawa huko waliko wawe hai
Yani sina undugu nae lakini Nina wasiwasi kama nini
Sijui ndugu zake wana hali gani, hasa mke na Mtoto

Na muda unazidi kwenda kweli
 
Hahahaa mabango yamefanana na yameprintiwa kabisa, mbona kama hiyo moment ilisetiwa?

BTW siungi mkono kutekwa kwa Roma2030 na kupotea kwa Ben Saanane
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kwani mkuu ni siri kwamba Roma katekwa? Unashangaa mabango mbona hujashangaa press conference?
 
Waacheni waendelee na viburi vyao watakiona cha moto 2020.
Kama vile kura zote unazipiga wewe.kauawawa Mwangosi mliandamana nchi nzima na kuapa kuiadabisha ccm.Huwezi kwenda ikulu kwa kutumia tukio la kupotea kwa Roma
 
Hayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.

Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.

Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.

Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.

Magufuli oyeeeeeee
cocochanel hakuna kisichopangwa , hili siyo tukio la siri unanishangaza unaposhangaa mabango yamekua arranged kwanini hujaulizia press conference iliyofanyika leo? Open up your mind honey.
 
Tz kinahitajika kikund cha waasi ndo tutaenda sawa
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA

Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia mabango waziri aseme chochote.

Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
Serikali ilianza na Dr Ulimboka, wananchi wakakaa kimya, ikaja kwa Ben Saanane, wananchi kimya, sasa kwa Roma!!Hii inanikumbusha kipindi cha Idd Amin Dada, waganda waliokua wanaikosoa serikali walikua wanapotea kwa staili hii.Watanzania tuamke utawala wa ccm umekwisha choka.Kama Nape kwa kujipendekeza kote na kujitotoa kote katumbuliwa kisa Bashite, sisi je??Magu Must Go!![HASHTAG]#MMG[/HASHTAG]
 
Hiyo propanganda hailipi ndg, watu hawajasahau juzi mlimkamata Ney
Mlisema kuwa kushindwa kwa lowasa kutafanya nchi isitawalike, na sasa mnaendelea na kampeni hiyo na hilo tumelijua. You are playing a fuckin dirty game ambayo kamwe hamtashinda nyambaf
 
Wewe ndo nyuki wa mashineni kweli !!

Serikali sikivu!?!? Au wewe uko uingeleza!?!?
K mbichi wewe huna jipya, kampeni mbovu za kueneza chuki zimefeli. Ya Maxence Melo tulikua pamoja lakini kwenye hili la kutuvurugia amani yetu kamwe hamtashinda. We love our country na sio nyie nyambaf
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA

Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia mabango waziri aseme chochote.

Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
ANtony mavunde siyo naibu waziri wa habari utamaduni na watoto ( naibu ni ANAStAZIA WAMBURA) MAVUNDE ni naibu ofisi ya waziri mkuu kazi, bunge walemavu ajira na vijana
 
katekwa na nani,je kama wamedhulumiana huko
Wanaoteka watu eanajulikana ni serikali ya CCM. Hata juzi hapa ney wamitego alitekwa morogoro, Dr.ulimboka nae alitekwa. Wanaodhulimiana wanapelekana Polisi. Hii style ni ya CCM kabisa nabinajulikana nchi nzima wanawateka wanaokosoa serikali na kuwaua kama walivyomfanya Ben saa 8
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA

Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony Mavunde kwamba hawawezi kupuuzia mabango waziri aseme chochote.

Naibu waziri akasema anasikitishwa na kitendo hicho lakini ana taarifa kwamba jeshi la polisi litatoa taarifa punde. Baada ya hapo kwenye segment ya hot 3 at 3 zimepigwa nyimbo mbili za ROMA ambapo umati umepagawa na kupiga mayowe.
Polisi si walishasema kuwa hawajui alipo? Au polisi wapi hao tena!?

Makonda aulizwe anajua kila kitu .. makonda anajifanya mafia sana
 
Back
Top Bottom