TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

Mzahamzaha hutunga USAHA!
Fuateni sheria za nchi na muheshimu mamlaka zilizowekwa kihalali nanyi mtakuwa salama. Tofauti na hapo mtazidi kupotezana wenyewe tu halafu kiki zikibumbuluka mnaona aibu kujitokeza
 
Fuateni sheria za nchi na muheshimu mamlaka zilizowekwa kihalali nanyi mtakuwa salama. Tofauti na hapo mtazidi kupotezana wenyewe tu halafu kiki zikibumbuluka mnaona aibu kujitokeza
Wewe unazifuata?,
 
View attachment 492447 kwa ambao hamjaangalia .oneni wananchi walivyocharuka.

Hayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.

Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.

Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.

Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.

Magufuli oyeeeeeee
 
Kwani anamakosa gani huyu jamaa hadi upoteaji wake uhusishwe na siasa? Wengine tumeshindwa kuelewa nini hasa logic ya harmorapism hii
Kwani wewe unahisi labda katekwa na majambazi? Au kajiteka mwenyewe?
Siku hizi kuna kikosi cha uvamizi?
Kiongozi wake nani?
Wacha wapige kazi"
 
Mavunde keshahamishiwa wizara hiyo kweli au wenge la mleta mada?
6tag-345786009-1015005724009285976_345786009.jpg
 
Hili ni fundisho kwa vijana,, anzeni kujifua kwa ajili ya mapambano watu wakikuzingua mnazinguana kweli kweli kabla hawajakuchukua! Inakuwaje watu wakuteke kirahisi rahisi hivyo?
 
Hayo makaratasi wamepewa na watu au kikundi fulani na kulipwa juu.

Wangekuwa na uchungu kiyao wangeandika hata kwenye matairi na chaki.

Kuna jambo linaendelea la wanaotaka kuichafua serikali. Polisi wakiwakata hao waliyoyabeba watajua ukweli wa walioshugulikia hayo huko Dodoma pia.

Mtanyooka tu na kujua serikali ipo kwa ajili ya wananchi.

Magufuli oyeeeeeee
Akili yako na babu kipara haina tofauti. Waambie Polisi wakawakamate wale vijana halafu mtaona matokeo yake. Nguvu haijawahi kuwa solution penye oppression hata siku moja.
 
Clouds wametengeneza mabango wanawagawia hao wapoteza muda,wanaitaka nini serikali????
 
Akili yako na babu kipara haina tofauti. Waambie Polisi wakawakamate wale vijana halafu mtaona matokeo yake. Nguvu haijawahi kuwa solution penye oppression hata siku moja.

Mmmmmh

Wawakamate wawaeleze, nani amekuambia kukamatwa ndio kutendwa mabaya au kuhusishwa na jambo baya!? Kuna kohojiwa na kwenda kwako.

Hayo makaratasi ni ya uchochezi hakuna lingine, na kuwa watu nyuma yake.

Hii drama yote ni movie tu iliyopangwa.
 
Mavunde keshahamishiwa wizara hiyo kweli au wenge la mleta mada?View attachment 492472
mkuu acha tu kwa kweli.. siku hizi Ishu nyeti kama hizi zinaharibiwa uelekeo na vichwa ngumu. Jambo la usalama wa mtu halitakiwi kuelekezwa kwenye siasa kwanza kabla ya kujua ukweli wake na hasa kutoka kwenye vyombo vya usalama. Kama hatuviamini basi Njia pekee ni kuja na useful evidences humu na kama tunaongopa basi tuwataarifu viongozi wetu juu ya ushahidi au taarifa muhimu. Tofauti kabisa na hali iliyopo. Kila kitu ni Bashite, makonda, sizonje, na gadgets za kipuuzi zilizojaa utoto. Mwisho wa siku hata kama kulikuwa na uwezekano wa kuupata ukweli vyombo vya usalama vinatulia na kusikilizia kama vyombo vya habari vitaweza kupata ukweli.. Ni kweli tunahitaji uhuru wa kusema, demokrasia na haki zetu lakini Tusisahau kufuata taratibu za kisheria ktk kushughulikia Mambo haya
 
Tanzania ni kubwa sana jombaa, msijipe moyo kwa hizi drama zenu za kutunga mkidhani mtatujengea chuki dhidi ya Serikali imara na sikivu. Endeleeni kujitekenya tu
Wewe ndo nyuki wa mashineni kweli !!

Serikali sikivu!?!? Au wewe uko uingeleza!?!?
 
usalam ushakua ishu now ,dawa niku tmbea n sime tu kam mmasai..
 
Back
Top Bottom