TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!

Jamii imeshapandikizwa hofu, swali langu hapa ni wapi wanapelekwa hawa wanaotekwa au kufichwa hata miili yao haionekani, kama yupo hai au bado mafichoni, na hili ndiyo linasumbua akili za watu wengi.
 
Magu asipomtoa Bashite atamletea aibu Sana maishani kwake... Maana Bashite now anatumia mida huu kulipa vusasi tu kwa kwenda kwa mbele... Watalia wengi Sana na pia wenye vusasi vyao vusivyo vya Siasa wanaweza tumia mwanya na kupandikisha Bashite au magigoni maama pilisi hawajui kitu yanayoendelea..
 
K mbichi wewe huna jipya, kampeni mbovu za kueneza chuki zimefeli. Ya Maxence Melo tulikua pamoja lakini kwenye hili la kutuvurugia amani yetu kamwe hamtashinda. We love our country na sio nyie nyambaf
Mlipo mkamata lemma, lissu , Nay , yule mbunge hatukuona??!?

Mlivyovamia Clouds hatukuona!?!

Mlivyo wakimbiza watoto wa udom kama mbwaa hatukuona!?!?

Leo mnapata uwezo wapi wakukataa hamjamkata ROMA!?!?

Halafu mnajifanya mnaipenda nchi yenu!!!

Lissu, lemma, mawazo, Nay wao sio watanzania!?!? Na wao hawaipendi hii nchi kama mnavyojifanya nyie ndo mlio ipewa na MUNGU!?
 
Kwa nini asitekwe mbowe au mashinji
 
Kwa nini asitekwe mbowe au mashinji
Mbowe kesi mlizombambikia za kuuza madawa ya kulevya zamtosha.hata hivyo mnaanza na hawa wafuasi wake kwanza. Hii nitabia yenu CCM
 
Waambie
 
cocochanel hakuna kisichopangwa , hili siyo tukio la siri unanishangaza unaposhangaa mabango yamekua arranged kwanini hujaulizia press conference iliyofanyika leo? Open up your mind honey.

Hiyo press conf. kama ulisikiliza wewe fine, nimeona uzi wake sijausoma. Mimi sio wakufatilia hawa wasanii nachofatili ni juu ya suala hili, ni uongo unaotungwa na watu. Hata nyimbo zao ukiniuliza sizijui, kama nimezisikia barabarani basi siwezi kusema hata ndio wao.

Haya narudi kwa hayo nani aliwapa hayo makaratasi kuyashikilia huko Dodoma? Familia yake? Nani?
 
Kwani ni nani anatuma watu huku kwenye mitandao kushinikiza serikali imwachie huyo kijana.?
 
Utekwaji wa Roma ni Kama ule uvamizi wa clouds mtekaji ni bashite tu
 
Kwani ni nani anatuma watu huku kwenye mitandao kushinikiza serikali imwachie huyo kijana.?

Mitandaoni siwezi kuongelea, kwasababu najua asilimia kubwa ni watu wa madawa na upinzani. Ila wale wa makaratasi na kuandikwa kisawa wana watu waliwatuma.



 
Waacheni waendelee na viburi vyao watakiona cha moto 2020.

Mkuu! Kama kila baada ya muda ananyakuliwa mmoja mmoja na kuchinjiwa baharini.
Je watakaosalia 2020 watakuwa na nguvu ya kuwasha huo moto??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…