kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Nina mpango wa kumuona huyu nabii anaejiita kiboko ya wachawi ili anitabirie kuhusu kifo cha JPM, kama kuna mkono wa mtu, wapukutike mmoja baada ya nwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliohusika na shambulio lile ni makomandoo waliokuwa wanaitwa task force hawa wanawalinda viongozi kwakuwa hawana kazi za kufanya huko jeshini baada ya mafunzo. wanachukuliwa kama slaha tu. watu hawa ni hatari kwakuwa hutembea na silaha zadi ya moja kwa wakati mmojaWengi sana tutashuhudia wakipagawa wao na familia zao.
Jiheshimu kama ninavyo kuheshimuMtu mzima na akili zake haandiki upuuzi kama huo, hata kuita kijana nimemkweza ningeita mtoto tuu.
Ohoooooo!!Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
Huo unaozungumzia ni uchawi. Sisi tunazungumzia tambiko. Jaribu kuelewa na kama ni ngumu basi omba msaada wa jirani akuelewesheHuu ni uongo. Wangekua na nia wasingesubiri gari lirudi.
Miaka ya 90 kijijini kwetu vijana walimpiga na kumkatili uhai kijana wa kijiji kingine aliyekua anakatiza kijijini kwetu usiku. Kipindi hicho umeme hakuna, wale vijana walimhisi yule ni mwizi wa mifugo.
Asubuhi yake Baba yake kijana akafika kijijini akaenda kwa mwenyekiti akatoa tangazo kwamba aliyeshiriki ajitokeze amuombe msamaha. Watu wakapiga kimya.
Mchana baba mtu akaenda pale mwili wa mtoto ulipokutwa akachota mchanga akaondoka. Jioni yake matunda tukayaona.
Alichofanya anajua yeye huko kwao ila ile show mnaicheza ukoo mzima. Yaani aliyeshiriki mauti inamuanzia yeye na ukoo unafuata.
Misiba double double kijijini usiku huo huo mwenyekiti, wazazi wa vijana na vijana waliobaki wakaenda hicho kijiji kwenda kumuomba msamaha yule mzee. Wakatengeneza pombe wakarudi kuimwaga pale ulipokutwa mwili hakuna aliyekufa tena ila binamu yangu hawezi kuzalisha mpaka leo na wanahusisha hiyo ishu na hilo tukio.
SawaHuo unaozungumzia ni uchawi. Sisi tunazungumzia tambiko. Jaribu kuelewa na kama ni ngumu basi omba msaada wa jirani akueleweshe
Kwa jicho la ujasusi nasubiria utekezaji uanze. Hakuna bahati mbaya kwenye ulingo wa siasa.Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
Kama "utaalam" huo upo, why not!Tambiko? Excuse me!
Nice Tumwachie Mungu tu aisee.Kweli lile tukio ni la kinyama ila kama haki imeshindikana kupatikana kupitia vyombo vya dola tunyooshe mikono basi, haya mambo mengine sio.
Tambiko? Excuse me!
Umesema kweli kabisa. Zaidi hiyo ni vita ya kisaikolojia, wasidhani wale wanao muita Pengo na Mwamposa ofisi wawaombee wanateseka na nini zaidi ya fikra hizohizo kuwa kuna hatari yaja.Kama "utaalam" huo upo, why not!
Kwanza ndio tutashuhudia ambayo husimuliwa tu.
Watu wamepewa nafasi ya kutosha kujutia, wakakaza shingo, nini tena kifanyike?
Hata kama ni mbwembwe tu za kijadi, acha wahusika wapate moto matumboni mwao.
Kila wakiguswa na unyasi sasa watafikiri wamegongwa na nyoka! Maisha ya namna hiyo usifikiri ni ya raha.
Kwa Kweli zile Dua za kimila huwa hazina mchezo kwa mtu aliyedhulumiwa 👁😱Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
Ni kweli kabisa tambiko litaanza kuwapukutisha 👁😱Mkuu kama ulijua au kushiriki ,anza Gawa mali taratibu ,kimbunga chaja
Sheikh mfuraji, ana nguvu gani za kiroho?Mkwara 🐼
Kuna yule shehe wa mkoa aliwatishaga akina Mwaka na bint Kimambi lakini wanadunda tu 😂😂
Mauchawi tuTambiko za kimila ni hatari sana sanaa, nishaona mambo kadhaa na matokeo yake yanatisha, ogopa sana matambiko ya kimila, yanafanya kazi kabisa..!! Sio rahisi watu kuamini haya hasa watu waliokulia au kuishi mijini tu, ila tambiko za kimila ni hatari sana.