Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kamwe haiweziNilijua TU,
Serikali ya hii ya asali na kulindana haiwez kukubaliana ile fedhea[emoji4]
Ni sawa na kuchojoa ukweni[emoji1]Kamwe haiwezi
Swali mujarabu hili.Sasa why katika hiyo picha mmeng'oa plate number if this is real?
Urusi[emoji3][emoji2][emoji1]USSR hivi taarifa unazipataga wapi?
🤣 aisee hatari sana haya mamboNi sawa na kuchojoa ukweni[emoji1]
Kwahiyo unalazimisha liwe la serikali?Nilijua TU,
Serikali ya hii ya asali na kulindana haiwez kukubaliana ile fedhea[emoji4]