TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

Sasa mlitaka awe shoga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh wahi hospital kamjulie hali majeruhi huko

Sasa alikua anakimbia nn km alichokua anafanya n sahihi na kinakubalika kwa jamii?? Si angebaki hapo hapo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj Waleteeeee.
 
Kuna taarifa ambazo serikali huamua wana nchi wasizijue Kwa maslah mapana ya ustawi wa Watanzania............

USSR
 
Wizara imetoa taarifa hii kwa kuchelewa sana. Madhara ya kejeli na mashambulizi aliyopata Mhe.Waziri na familia yake ni beyond repairable na yametokana na uzembe wao.
Pole kwa Mhe.Dunga
 
Basi sawa ....pole zake ...ukweli huwa haufi mazima ipo siku utajiinua kama wamedanganya
 
Back
Top Bottom