cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mbna wametoa plate number??
[emoji23][emoji23][emoji23] hawana hata aibuu, kiongozi wa umma mzinziii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbna wametoa plate number??
Taarifa awali na picha za eneo la tukio linaonesha gari Ni ya serikali imekula mbangaKwahiyo unalazimisha liwe la serikali?
Habari zote zinaanzia twitter hiyo habari ilianza kule Toka SAA 12 asubuhiUSSR hivi taarifa unazipataga wapi?
Kesho Simba wanafika saa 4Kwahiyo unalazimisha liwe la serikali?
Alafu gari imepelekwa nyumbani badala ya kituoniMbna wametoa plate number??
[emoji23][emoji23][emoji23] hawana hata aibuu, kiongozi wa umma mzinziii.
Nashangaa hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu gari imelelekwa nyumbani badala ya kituoni
Pacha wake ni yule Dada wa wizara ya mambo ya ndani ya KENYANashangaa hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiongozi mzinziii, afu wizara kubwaa lol.
Inawezekana wanataka kuficha aibu.
Hapo ndio wanacheza kama bongo movie, badala wangeweka namba ya kawaida wao wametoa kabisa.