TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB


Una ujinga mwingi sana na unajivunia, ufiche mbali huenda utakufaa huko mbeleni.... wewe ni sampuli ya huyo dogo hivyo ni wa kuhurumiwa tu kama sio kupuuzwa.
 
"OR TAMISEMI inaendelea kumtafuta mwanafunzi huyu ili iweze kufahamu nia na shida ambayo amekumbana nayo mpaka kufikia kufanya kitendo hiki".

Hapa itakuwa kuna jambo.
Kwa nini OR TAMISEMI itoe ufafanuzi kabla hata hawajajua tatizo la huyo dogo?
Wanataka kumfanyia unasihi,halafu OR TAMISEMI sio lazima iwe ile ya makao makuu Dodoma..hata ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri husika inaweza kutumika kukutana na huyo kijana.
 
Inabidi viletwe Vielelezo kama dogo anavyo kuwa Kapangiwa ECA.

Nakumbuka kuna wakati TAMISEMI walikoroga taarifa za ajira , majina na index number. Tangu hapo nilishamalizana nao
 
Hii kweli kbs. Ss unakuta mwanafunzi amejaza mambo ya sayansi wakati yeye amefaulu masomo ya arts, utamfanyaje? Na hata ukimtafute anakwabia jaza yeyote fresh tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…