DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna halmashauri za kindezi sana,

Kuna halmashauri Dogo flani kaenda,
Kwanza Salary Ya JUNE kapata, Na kwenye usaili waliambiwa Ambaye hatapata Salary Asiende kituoni mpaka waingiziwe,

Amefika kituoni(ni mwalimu) shule Imemlipia kodi ya miezi 3, godoro dogo unapewa ukitaka, na wameripoti wa 3 kituo kimoja wote wamepewa.

Chai, lunch vyote ni shule,

Pesa ya kujikimu Bila shaka mtapewa Mwezi huu, inatofautiana kwa halmashauri, kuna watu wanakula 900k wengine 470k, ni uhuni flani tuu..

Kukosa Salary mara nyingi ni Makosa ya ma afisa utumishi kuchelewa kutuma taarifa, HIO ndio sbb kubwa.

Dogo Pole na vumilia, hii ndio iwe chachu ya kwenda kufanya kazi kwa malengo..
Usiwaze kufia kazini, Usilitoe hilo akilini kama itakufaa.
 
Huu ni ushauri wa kipumbavu sana nikama unajaribu kumfundisha woga matatizo ya mtu isiwe fimbo ya kumnyanyasa kwani pesa za kujikimu ni hakiyake ...hizo garama za kuwazungukia hao wote utamchangia wote si bora ameleta hpa atajua pakuqnzia au wadau tutansaidia kwa chochote .... a cha mawazo ya kimasikini
 
Hapa ndiyo atapata haki yake?
 
[emoji120]

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji17]

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Wanafany kazi bila stress yan [emoji17]

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu awaelew mkuu,
But hii ishu sijisaidii mm tu ata ndug zao nawasaidia.

ATA YESU ALIDHIHAKIWA.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu NOTED.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji120]

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Hufai kuwa mfanya kazi wa serikali, una mdomo sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, hakuna maisha magumu kama kuishi bila pesa ugenini na huna uhakika wa kuzipata, huku walijikusanya wakaenda Mkoani kusema kwa RAS, kipindi hicho MADED walikuwa wana ziara yao ya ALAT Nzanzibar. RAS aliagiza waende MADED ambao wamelipa posho za kujikimu walimu wapya katika Halmashauri zao tuu, mbona walilipa.
 
Acha kulia kulia.

Wakati hujapata kazi ulikuwa unalalamika upate kazi, umepata kazi bado tena malalamiko.

WAKATI HUJAPATA KAZI ULIKUWA UNAISHIJE.

KWA UFUPI,

Tulia tu hiyo ngoma inaweza kaa hata miezi miwili bila bila.

Jambo la msingi, waambie ndugu zako wakutumia angalau laki 5 uanzie hapo wakati unasubiria huruma za gvt.

Kelele hizi msaada wake ni mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…