Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Madame B ulimpa talaka mwenyeweeee

 
Last edited by a moderator:
Iyo anaandaa amu ustie shaka
Wakati unakunywa hiyo chai ongea na amu banaa afanye haya mambo kama yameisha! Yaishe! Aitafute sana amani! Na kisha ukienda kunywa divai na gfsonwin muombe naye afanye yameisha. Tuitafute amani na tuishike sana! Tuishi kama zamani! Tusameheane! Na kuganga yajayo! Haya na yeshe basiiii.......!!!
Umenisikia?
 
Last edited by a moderator:

Asante kwanza kwa kumtambua Baba V kuwa ni mwenyekiti halali. kweli mapenzi ni upofu yani yani mtu unamfumania kwa siku mara saba lakini bado humo? mbona kuna vijana watulivu hapa kama naniliuuu usiwape hiyo nafasi, yani sosoliso akikaribia guest milango inajifungua maana daaa hadi imemzoea kwakweli na kama huto muacha nita file case ya kuivunja hii ndoa siwezi kuangalia unateseka hivi.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahaha
kweli kabisa hila sosoliso hakufai kabisa kama Paloma kamshindwa hivi utamuweza maana jamaa kwa siku ana fumniwa mara saba sasa piga hesabu kwa wiki.

Hivi unajua kufumaniwa ni sifa kwa mwanaume!? Hapo ni kwamba anahitaji aongeze mke.....ngoja ntaongea naye kama anataka mke wa pili!

Nadhani akanana wako atamfaa........
 
Last edited by a moderator:

Umenena vema Paloma bila shaka Amani na upendo utarudi inshallah. alaf ni lini unamuacha sosoliso?
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua kufumaniwa ni sifa kwa mwanaume!? Hapo ni kwamba anahitaji aongeze mke.....ngoja ntaongea naye kama anataka mke wa pili!

Nadhani akanana wako atamfaa........

hhahahahahahah yaniu naona umemchoka kabisa sosoliso. yani siku atakapo msogelea bas utakuwa mwisho wake wa kula nyama.
 
Last edited by a moderator:
Alokwambia nateseka nani? Afu unajua wewe mishipa yako ya ufahamu imejaa alcool na khat.....unamchanganya sosoliso na Bujibuji! Sijui kwa nini!!! Au unantaka?! Embu nenda kwanza kafungue faili ufanye mediation kati ya amu na gfsonwin, ukiweza kuweka mambo sawa natangaza ndoa na wewe! Afu sosoliso na akanana wako nao tunawaunganisha! (This is not an official bet)
 
Last edited by a moderator:
hhahahahahahah yaniu naona umemchoka kabisa sosoliso. yani siku atakapo msogelea bas utakuwa mwisho wake wa kula nyama.

Haha mkuki kwa kitumoto eeenh! Kwa akanana wako mchungu!

Sasa kwa nini unanitaka? Baba V ona huyu loya wako...loya gani anataka kuvunja ndoa yangu? Ataka nikiachwa anichukue yeye? Basi kama ndo ivyo tubadilishane! Amua wewe sasa mwenye-mkeka!
 
Last edited by a moderator:

Nilikuwa na mashaka na maisha utakayoenda kuishi na kilichonitisha zaidi ni pale alipokuhonga breakdown ndo ngachoka kabisaa yaani...
 
Last edited by a moderator:

hhahahahaha Paloma utaweza kupambana na my akanana? kwa swala la mediation hii hapo kwanza hilo swala limesha kwisha usijalia hata kama hakuna ahadi yeyote lazima ni hakikishe linakwisha na naami litakwisha.
 
Last edited by a moderator:
Haha mkuki kwa kitumoto eeenh! Kwa akanana wako mchungu!

Sasa kwa nini unanitaka? Baba V ona huyu loya wako...loya gani anataka kuvunja ndoa yangu? Ataka nikiachwa anichukue yeye? Basi kama ndo ivyo tubadilishane! Amua wewe sasa mwenye-mkeka!

Hapo sasa...
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa na mashaka na maisha utakayoenda kuishi na kilichonitisha zaidi ni pale alipokuhonga breakdown ndo ngachoka kabisaa yaani...

Hahahaa Baba V basi nikwambie mie nimefunzwa kupokea hata kama ni kibovu, mfano samaki wabichi waloanza kuharibika, nishukuru kwa upendo kisha nitafute viungo na ndimu niwatengeneze na kuwapika hata ubovu usijulikane! Au kama ni mboga za majani zimeanza kuharibika ntazichambua na kuzikausha, kisha nitafute karanga au nazi nizipike kwa ufundi zilike! So hata ile mandolin niliifanyia manuva ikaingia katika business, imezaa Defender 110 brand new nimenunua(japo nimelipa kwa mafungu) pale CMC! Na bado ndoa yangu na sosoliso inayeyaaa! Huyo ndo Paloma Blanca!
 
Last edited by a moderator:
Paloma wakati sipo hapa kimeendelea gani
 
Last edited by a moderator:

Mumeo ana raha kukupata , sio hizi hasara kama Madame B...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…