Hahahaa Baba V basi nikwambie mie nimefunzwa kupokea hata kama ni kibovu, mfano samaki wabichi waloanza kuharibika, nishukuru kwa upendo kisha nitafute viungo na ndimu niwatengeneze na kuwapika hata ubovu usijulikane! Au kama ni mboga za majani zimeanza kuharibika ntazichambua na kuzikausha, kisha nitafute karanga au nazi nizipike kwa ufundi zilike! So hata ile mandolin niliifanyia manuva ikaingia katika business, imezaa Defender 110 brand new nimenunua(japo nimelipa kwa mafungu) pale CMC! Na bado ndoa yangu na sosoliso inayeyaaa! Huyo ndo Paloma Blanca!
Aaah wapi, kama anakupenda atarudi na mtakamilisha masharti...
Wakati unakunywa hiyo chai ongea na amu banaa afanye haya mambo kama yameisha! Yaishe! Aitafute sana amani! Na kisha ukienda kunywa divai na gfsonwin muombe naye afanye yameisha. Tuitafute amani na tuishike sana! Tuishi kama zamani! Tusameheane! Na kuganga yajayo! Haya na yeshe basiiii.......!!!
Umenisikia?
hahahahaha ntangia niwambie nitamshauri mwenyekiti afungulie ghala la silaha kuwaangamiza wote wamekimbilia msituni wakiongozwa na shem Nivea(savimbi)
Wale wanamapinduzi.mbona siwaoni tena hapa mkiti?
aaah wapi, kama anakupenda atarudi na mtakamilisha masharti...
washatulia..
Tulii
Ruttashobolwa an'takaaa!Paloma wakati sipo hapa kimeendelea gani
Waliingia chit chat wakijitanabaisha kama mke na mume ila sina kumbukumbu ni lini waliachana....
Ya kweli haya...!!
siamini mpaka sasa kama ni wewe
sikuachana naye kwa talaka kuna mamluki waliniibia baada ya kuwa busy majukwaa mengine. Halafu aliyeniibia àti kajipachika m/mwenyekiti.
malkia! Mi sikufurahia mapinduzi ya gafla..ni bora
utaratibu ufuatwe..
By the way pole kwa maswaibu yote..
nshapoa!! Mume ndo kashayeya tenaa!
^^
I always decide once and live my decision
Colour ur judgement so U will be right
^^