Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Huyu baba v kazi imemshinda na amelewa madaraka, eti anasema yeye mwenyekiti wa maisha. Naunga mkono mapinduzi
 
Huyu baba v kazi imemshinda na amelewa madaraka, eti anasema yeye mwenyekiti wa maisha. Naunga mkono mapinduzi

hayapo tena hayo mapinduzi sasa hivi tuna chit chat tu....waliojaribu wamekimbia hawakuwa na hoja mujarab...
Lady doctor karibu,
Arabela nakuona apo unachungulie njoo nikusabahi,,
 
Last edited by a moderator:
bila shaka mambo yameanza kuwa safi na natoa wito kwa kikosi cha waasi kilicho msituni kujisalimisha na kurudi kwenye meza ya mazungumzo hili kujenga nchi yetu ya cc.

cc kamanda Nivea, Mrembo by Nature, mwaJ , Madame B na waasi wengine.
 
Last edited by a moderator:
Learned brother hivi ni mazungumzo gani unayotegemea kutoka kwa Baba V? Sisi tunataka awajibike!

hahahaha ni mazungumzo ya Amani maana mapinduzi yataacha majeruhi wengi sana. tunaomba mjisalimishe.
 
daaa kweli mapinduzi si ktu kizuri yani hapa ni utani utani lakini naona kama vile misri.hahahahahah leo nimecheka sana kupitia uzi huu kwakweli. aiseee chit-chat idumu milele.

Alaf mimi na mwenyekiti Baba V tunafanyia kazi malalamiko yenu na hali ya amani nafurahi imerejea.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…