Jibu kwanza hizo chache hapo juu!
Baba V unapenda watoto wa watu waendelee kuzini, kwann umekataa hadi sasa hv kuruhusu file lao???
au ni mwenyekiti mwenye personal interest?!
pumzika kwanza benchi!
Japo waswahili wanasema mtoto akinyea mkono haukatwi lakini kwa sasa nahisi nitaanza kukata ili heshima ichukue mkondo wake..
Niwekee bayana hizo hoja nizione..
Niwekee bayana hizo hoja nizione..
Hapa kuna nn tena?
Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.
Hapa kuna nn tena?
Tumechoka utawala huu, tunataka people's power.........chama kimejaa wazee tu heh mie hapana kabisa.............:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:, tumuunguze mwenyekiti,.......hatumtaki Baba V.
Chama kimemshinda.
Mimi, Nivea, Mrembo by Nature, Kaizer and mwaJ,.........tayari kwa kukupindua.
Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.
Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.
............:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:, tumuunguze mwenyekiti,.......hatumtaki Baba V.
Chama kimemshinda.
Mimi, Nivea, Mrembo by Nature, Kaizer and mwaJ,.........tayari kwa kukupindua.
Mrembo by Nature tayari uongozi wa mpito upo hewani, na tayari wamekabidhiwa majukumu!Naunga mkono mapinduzi hayo. Mapinduzi hayazuiliki......