Nampendekeza waume zangu Ben Saanane na Remote wawe vyenyekiti.
Swali muhimu na zuri sana hili. Hayo madaraka aliyapataje? ili leo aseme hang'okiKwani kipindi chako cha kuwa madarakani ni ngapi? Na nani alikuweka hapo kwenye hicho kiti?
Heheheheheheeeeiyaaa watu na share zao chit chat. Mtuwache tumewachokaaaaaaaaaaaa^^
Nimetoa hoja 5 ambazo kimsingi zipo makundi 2 moja ni Mahusiano ya CC na la pili ni Usasa na Ukale,,hiyo ndoa yangu hata isipotimizwa Maana naona tangu awali Bwana Mkubwa wa CC anakauli juu ya nani ampende nani na nani amkatae nani,,so he is the heaven to decide!
Tuwe wazi Kaizer nyinyi ndio wamiliki wa CC haihitaji ku Major wala ku Minor ili ulijue hili,,nidokeze tu hata sikioni kuwa Cc ni mali ya watu fulani Uone kama utaniona humu.
^^
Nampendekeza waume zangu Ben Saanane na Remote wawe vyenyekiti.
^^
Rejea post yangu utaona King kan alivyosurrender,,fine if that the case hayo mengine je? Pia unakumbuka comment zako juu yangu na queen kan kwenye post ya Ladydoctor juu ya kukaguliwa kwa wanaume?
Jibu hoja zote sio vipande.
Sihitaji uongozi hapa,,hoja yangu Urudie ujasiri wa uongozi wako uliousahau nyuma.
^^
heheheheheheeeeiyaaa watu na share zao chit chat. Mtuwache tumewachokaaaaaaaaaaaa
baba v they r measuring the depth of the sea by finger = wanapima kina cha bahari kwa kidole.lol .BTW nilisepa CC siku nyingi kidogo,am not aware with its current affairs.kisa ni nini mkuu?!
kimeundwa lini?
^^
Pokea LIKE
^^
Kama ni kuwa "vyenyekiti" tu. wamepata..
Umezidi na wewe mwenyekiti. Heri tu upinduliwe ubaki na moja la kututo.ngoza haaaa.
Swali muhimu na zuri sana hili. Hayo madaraka aliyapataje? ili leo aseme hang'oki