Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.

Mkuu Himidini apo mstari wa mwisho umeongea la.maana sana hiyo ndio hoja sasa hebu tuone anafanyaje kuimprove pale inapoonekana amechelea kufanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
^^
mbona hoja za gfsonwin nivea na malalamiko mengine hamjibu? Kama mke wa ntu mpaka walianzishe hivi ndo mseme?
Ukweli hauna ubaguzi,,uongozi unahitaji kwenda makumbusho.
^^
kimsingi cc inabidi kubadilike sana vinginevyo mtawakosa memba. Hili jukwaa ni la majungu tu sasa badala ya jukwaa la kuondoa stress........

Am going for good!
 
kimsingi cc inabidi kubadilike sana vinginevyo mtawakosa memba. Hili jukwaa ni la majungu tu sasa badala ya jukwaa la kuondoa stress........

Am going for good!

jamani! Dont go please! Even if its fo good as you say!! We love en need you here!
 
^^
Mbona hoja za gfsonwin Nivea na malalamiko mengine hamjibu? Kama mke wa ntu mpaka walianzishe hivi ndo mseme?
Ukweli hauna ubaguzi,,uongozi unahitaji kwenda makumbusho.
^^

Hoja zao ni zipi? Manake kama ni mambo ya PM mkiti hana uwezo nayo. Majungu yapo hata mtaani yeye ni nani hadi auzie watu kujunguana? Yaani watu wafanye mauza uza yao PM na kwingineko halafu Baba V aje asuluhishe apa? Hata mods hawawezi zaidi ya kufuta sredi. Cha msingi watu wajiheshimu basi.
 
Last edited by a moderator:
kimsingi cc inabidi kubadilike sana vinginevyo mtawakosa memba. Hili jukwaa ni la majungu tu sasa badala ya jukwaa la kuondoa stress........

Am going for good!

^^
gfsonwin
Kuna jambo nimejifunza hapa leo,,kuwa Chit Chat ni mali ya kundi fulani tu Hao ndio Mama wa wote,Baba wa wote,hakimu wa wote,,kama kuna kosa nimelifanya JF nikufikiri CC ni mahali pa stressfree zone,mahali pa urafiki,upendo n.k Nimefanya kosa kubwa.
Pia nahitaji kufanya uamuzi binafsi..
^^
 
Last edited by a moderator:
nilicholalamika ni kwamba kwann jukwaa linaruhusiwa kuwa na nyuzi za kuwachafua wenzao??

Kimsingi wana cc mmeharibu jukwaa kwa nyuzi za kuchafua wenzenu.
 
Reactions: amu

^^
Kaizer PM hakuna ajuaye yanayoendelea na hakuna wa kuyatolea maamuzi.
Hivi nyinyi uongozi wenu unaanzia wapi na kuishia wapi?
Nisiwe nimeingia jukwaa lenye utawala wa Kiginingi !!
^^
 
Last edited by a moderator:

huku ni mahali pa kuondoka na ndio mana siku hizi nimebaki kwenye siasa, tech, biashara, great thinker, celebrities, sports na tech
 
Reactions: amu

usijali babe, nothing stands still! This too will pass!
 
Last edited by a moderator:
kwakweli may be akija mwenyekiti mpya tutaona maendeleo maana tunaibiwa waume zetu waziwazi, wa Baba VV unaangalia tu bila hata kusuluhisha sasa ulichaguliwa wa nn mama yangu Mamndenyi anaachika tu kila siku hata kuzuia ugomvi sijui ulikuwa wapi
besti yangu nae Lady doctor ndoa changa inavunjika kisa kifanyio hata fungate halijaisha kwani kazi yako nn hasa
 
Last edited by a moderator:
nilicholalamika ni kwamba kwann jukwaa linaruhusiwa kuwa na nyuzi za kuwachafua wenzao??

Kimsingi wana cc mmeharibu jukwaa kwa nyuzi za kuchafua wenzenu.

My dear hiyo ni kazi ya Mods sio ya mwenyekiti. Ndicho ninachosema. Baba V sio mod at least to my knowledge. Sasa analaumiwa kwa sababu gani? Wangepinduliwa mods basi
 
Last edited by a moderator:
my dear hiyo ni kazi ya mods sio ya mwenyekiti. Ndicho ninachosema. baba v sio mod at least to my knowledge. Sasa analaumiwa kwa sababu gani? Wangepinduliwa mods basi

kama ni mwenyekiti alipaswa kusmamia nidham ya jukwaa swtlo bt bana mie huku si kwangu so see you
 
Reactions: amu
hivi mambo ya humu ni serious?mimi nilidhani ni matani tu ya chit-chat.kwa hiyo kuna wenye kiti humu?mimi kwangu ni mapya
 
nilicholalamika ni kwamba kwann jukwaa linaruhusiwa kuwa na nyuzi za kuwachafua wenzao??

Kimsingi wana cc mmeharibu jukwaa kwa nyuzi za kuchafua wenzenu.

Halafu apo mstari wa mwisho umetumiw "mme" il hali u mmojawapo wa wana chit chat...jukwaa ni letu sote pa.kurekebishana tuambiane sio kujitoa lawama if any....
 
hivi mambo ya humu ni serious?mimi nilidhani ni matani tu ya chit-chat.kwa hiyo kuna wenye kiti humu?mimi kwangu ni mapya

Shangaa saalsa kisukari..sema ndo ivo wengine laabda wanachukua serious but to me its fun really....sema hoja ikiwao hoja basi inajibiwa kwa hoja
 
Last edited by a moderator:
huku ni mahali pa kuondoka na ndio mana siku hizi nimebaki kwenye siasa, tech, biashara, great thinker, celebrities, sports na tech

^^
Uzuri Invisible alishaweka uhuru huu na Jf ina nchi nyingi..
Teh teh
Kaizer hii hapa Chit Chat mnayoitaka nyinyi.
^^
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…