hivi mambo ya humu ni serious?mimi nilidhani ni matani tu ya chit-chat.kwa hiyo kuna wenye kiti humu?mimi kwangu ni mapya
i cant ma dear.
Uwe na amani kabisa
nilicholalamika ni kwamba kwann jukwaa linaruhusiwa kuwa na nyuzi za kuwachafua wenzao??
Kimsingi wana cc mmeharibu jukwaa kwa nyuzi za kuchafua wenzenu.
kimsingi cc inabidi kubadilike sana vinginevyo mtawakosa memba. Hili jukwaa ni la majungu tu sasa badala ya jukwaa la kuondoa stress........
Am going for good!
Mambo ya cc yamewekwa katika maisha halisi ya members. Na ndio maana mvurugano umeanzia hapo!
Cc tumejiundia mji au niseme nchi ya kufikirika, yenye maisha mazuuuuuri! kuna ndoa ambazo kama Mamndenyi anavyoziita ni za matandao, kuachwa, kuachana kuolewa nk, ni jambo la kawaida humu! Mji ambao tajiri aliyeko kwenye list ya forbes ana sh laki3!
Lakini tukishaingiza uhalisia baaaaas-ndo tunaharibu utamu wa kuchit-chat!
Watu pipo,sie ni watu wazima, tumekosea! Tukubali! Tukubali kujirudi kwa ustaarabu turekebike! Tuanze upya! Kwa amani na kiroho safi! Miongoni mwetu wapo walio katika mfungo, tumwagiane bashasha za upendo!(Hata kama utakuwa ni ule upendo wa kufikirika mradi watu roho zisuuzike) Tulikuwa tunajidai cc imejaa mapendo, tuyaendeleze! Wanaotongozana kwenye pm waendelee tu kiroho safi lkn wasije kukashfiana kwa nyuzi humu! Wamalizane kwa PM! Mods wafanyie kazi nyuzi kama hizo with immediate effect!
Mwisho, nasemaje............nampenda mume wangu sosoliso "simpendei ugiant wake bali mambo mengine" Long live my ozzbend sosoliso brigedier general wa cc brigade!

ha ha ha nicheke mie mlete dada yako aje anipige si anataka kunipiga
umri bongo kama mtu hajiheshimu hajiheshimu tuuu hata awe na miaka 70 ningemuona wa maana angenitafuta au angekuambia umlete maskani siyo alilolifanya
kuna kukua kwa aina nyingi.
Niache nipumue Madame B nimegundua wakubwa wabafaidi...lok