Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kweli inashangaza sana, maaskofu hawakuwashutumu ansaar sunnar kwa kuunga mkono mkataba wa bandari, wao walizungumzia mapungufu ya mkataba na wakaukataa na kueleza sababu na wakataka marekebisho.Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.
Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Mimi pia nashangaa...anaatack watu Kwa matusi anazidi kuprove jinsi akili zao zilivyo ndogo.Afu wewe kichwa box kweli unatukana tu watu badala ya kujikita kwenye hoja au ndo umewaandikia huo upumbavu
Wewe fala kweli kwahyo kama wazungu walichukua migodi tukubali na vingne viondoke?? Hivi nyie akili mmeziweka wapi?vipi na wale wazungu waliopewa migodi yetu ya madini, roho haikuumi?
Sa mkuu kama kusoma wanasoma lkn kuelewa context ni changamoto unategemea nn? Inabid tukosoe kile kilichoandikwa kwa lugha ya Taifa mkuu!!Hivi,wanapaswa kutoa mawazo yao kuhusu DP World au kushutumu wengine waliotoa maoni yao?Kwa nini hawataki kujifunza kukubaliana kutokukubaliana?Wakiambiwa maneno makali watajinunisha kwa akili hizo kweli?
Pole sanaNote: tunaamini uwezo wa akili wa viongozi wa answaar sunna ndio uwezo wenu nyie katika imani. Kama dp world atawekeza kweli basi hawatakubali kuwa na watu kama nyie kwenye operations zao Waalllah!
Asante sanaPole sana
Wewe kiasi uone aibu maana uislamu haundeshwi kwa matamko kuna taratibu zake zimewekwa jinsi ya kukosoa na kuliendea jambo kuna njia pia ni jinsi gani kukosoa sii utaratibu wa kiislamu kumkosoa kiongozi hadharani wakati njia za kuonana nae hazijafungwaWaisalamu wenzangu hivi ni lini mtaachana na akili za TENDE HALUA? Baraza lilipaswa kujikita kwenye UHALALI na UBORA wa mkataba katika wasilisho la maoni yake. Badala yake wameonesha UPEO wao halisi wa masuala ya kitaifa namna ulivyo FINYU.
AIBU NIMEONA MIMI
View attachment 2728045
Tatizo sio kuweka pesa bandarini na blaa blaa kama hizo,swala ni productivity na uwezo wa kupanuka na kupata masoko.Yani hii ndio inawakilisha brain ya kiislam miaka mitatu imepita tangu bandari ichimbwe mita 15 na tulitumia gharama kubwa na walikopa pesa kuiendeleza Leo hii wanataka mgeni aje anufaike chap, ni ujinga wa hali ya juu.
Tusubirie wa jamatiniKazi kweli kweli, kwa sasa ni mwendo wa nyaraka tu.....tungoje nyaraka nyingine zipo njiani.
Kama Mtu Hana HOJA Za Msingi, Unategemea Ajibu Nini Zaidi Ya KUJIFARIJI Kwa Mgongo Wa UDINI Huku akijua Kabisa Tatizo Liko Pale Pale !!Wamejibu kuhusu vipengele vyenye utata vya mkataba, au wanamtetea mwenzao katika imani hata kama hayupo sahihi?
Imani kwenye sheria!!? 😁Duh nanukuu..
"Hivyo basi, sisi BASUTA tusingependa kujikita kwenye mjadala wa vipengele mahususi wa Mkataba wenyewe wa bandari tukiamini mchakato unaenda vizuri na maslahi mapana ya taifa yatafikiwa"
Wanafanya spinning.Kama Mtu Hana HOJA Za Msingi, Unategemea Ajibu Nini Zaidi Ya KUJIFARIJI Kwa Mgongo Wa UDINI Huku akijua Kabisa Tatizo Liko Pale Pale !!