Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kweli inashangaza sana, maaskofu hawakuwashutumu ansaar sunnar kwa kuunga mkono mkataba wa bandari, wao walizungumzia mapungufu ya mkataba na wakaukataa na kueleza sababu na wakataka marekebisho.Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.
Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Sasa waislam wanaleta udini kwa vile aliyeuza bandari ni muislam na mnunuzi ni muislam.
Tuache udini kwenye tuzungumzie mkataba na siyo udini.