Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
tunajua imeenda, ila muhimu kwetu ilikuwa tuseme na historia itahukumu.Mtake msitake bandari inaenda DP world
CC FaizaFoxy , THE BIG SHOW , Sir John Roberts ,Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.
Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Acha matusi jibu hoja.Waraka unao nyesha ni jinsi gani tec ni zaidi ya wabinafsi na wanajifanya bila wao Tanzania haikaliki. Wanajifanya wakina kibwetere! Wao ndio sauti kuu katika maslahi Yao wanakuwa mbogo.! Na hawataki tanzania kuendelea na kupata manufaa ya muda mrefu. Na hapo wamepandikiza chuki Hadi humu kwenye forum Kuna wang**** wanaacha kujadili mkataba na kujadili dini ya wanao taka kuwezekeza.
Tumeshachukua wawekezaji wazungu kutoka Kona zote za Dunia ila ndio hao Kila siku wanatufungulia kesi kimataifa na tanzania tunalimwa fines.
Chuki na roho mbaya ni kitu kibaya sana ndugu zangu
Hawa ma**** wameenda mbali zaidi na kusema eti mkataba hawautaki !! Shame on you ol
Mnataka kupanda watu kichwani mnajitia umuhimu katika vitu msivyo usika navyo
Tec hawana tatizo na waarabu acha kupotosha, ila tatizo ni vipengele kwenye hiyo mou baina ya Tz na Dubai (Dp world)....Tatizo la TEC ni kutoamini kwenye mawazo mbadala,kujiona wao ndo kila kitu hapa wamegonga mwamba ,mwarabu ni kama maji kwa zama hizi haiwezekani kwa namna yeyote.
Hawataki Waarabu Kwa hofu ya kwamba wataeneza sana dini shindani YaoTec hawana tatizo na waarabu acha kupotosha, ila tatizo ni vipengele kwenye hiyo mou baina ya Tz na Dubai (Dp world)....
wanaojenga bwawa la Nyerere ni waarabu ila Tec haijawatolea tamko.
Wamisri na dini wapi na wapi? Pia UAE ni mkubwa kiuchumi kuliko EgyptUongo tu huu, Kama ingekuwa kweli wangeanza na wamisri wanaojenga bwawa la Nyerere au wale wa UAE waliopo Loliondo
Kwani huoni hata huko Loliondo RC Hawataki wawepo ingawa Kuna Wazungu wako huko miaka na miaka?Mbona hao UAE wapo Loliondo pia, Ccm mnatumia mbinu chafu mno kuzima mjadala....mtashinda ila watanzania wataumia kwa huu mkataba mbovu.
Ila wamefanya nini kama hawajanunua?RC wa Ccm hana ubavu wa kuwapinga OBC, hao wazungu wa huko hawajanunua pori.
Elimu gani muhimu ?Duuu Kama ni kweli,Basi Elimu ni muhimu...
Haijawa leaked ila watu wanajua ukweli kuhusu hiyo mikataba. Sasa shida ni kuwa leaked au kujulikana kile kilichomo kwenye mikataba ?Wamejibu Hoja?.
Hiyo mikataba mingine ilikuwa leaked kama huu?
Hao BASUTA wamekosea wapi katika hicho walichokiandika ? Je wameandika uongo na kama uongo, uko wapi ?Viongozi wa kiislamu huwa wanaaibisha sana mda mwingine