Duuu Kama ni kweli,Basi Elimu ni muhimu...
Elimu gani muhimu ?
Wakristo jifunzeni kujenga hoja na kukosoa au kujibu hoja.
Hao BASUTA wajitahidi sana kuandika, ukiangalia mpangilio wa uandishi wa Waraka huo na ule wa Maaskofu wa TEC, utaona wazi kabisa umakini uko wapi.
Niliwauliza katika mjadala fulani humu humu ndani, ya kuwa Wakatoliki dini yao inawafundisha vipi kuyaendelea mambo kama haya, jibu sikupewa.
Lakini hamjajibu hoja mpaka muda huu kutokana na hicho walichokiandika BASUTA. Ukisoma hilo tamko, BASUTA hawajawatetea serikali, bali wamehimiza jambo hilo liachwe kwa wahusika wasubiri majibu. Lakini mwanzo mwisho Wakristo kwenye huu uzi wanasifia akili kubwa mara elimu elimu, lakini kujibu hoja hawajibu.
Walichofanya Maaskofu, ni kitu kiovu na hakifati mafundisho yoyote ya dini toka kwa Mola muumba, ndio maana niliwaambia zile ni falsafa na siasa.
BASUTA wamewakumbusha Wakristo kuwa waadilifu, ila shida BASUTA nao hawajajua ya kuwa uadilifu si sifa ya WAKRSITO.