Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Mtu anaunga nmkono mkataba lakini hana ubavu wa kunukuu hata kifungu kimoja cha mkataba ili kujenga hoja ya kuukubali!! Hebu tupeni CV yake huyu!! Tusije tukamhukumu kumbe tukawa tumemwonea kwa mujibu wa elimu yake!!
Hawajasoma mkataba wala hawajasoma waraka wa TEC, kwahiyo hawawezi kunukuu kifungu chochote. Wao wanchojua tu TEC wamepinga mkataba wa DP world
 
TEC wametoa maoni yao
 
"BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa."...Heee what a stupid remark.
 
Hapo namuona Prof Assad na huwa hana mambo udini
Only 3 out of 20 Millions!!??
Hahaha! Wewe mchokozi.
 
Kuna msemo kwamba 'nyoka huuma afikiapo'. Yaani, they can't go beyond that.
 

Mtaishia kutukana tu
 
Tafadhali naomba CV ya kiongozi mkuu wa BASUTA!! Naona hana hata ubavu wa kuainisha jina lake kwenye waraka wao!!
 
Kwa hiyo wewe shida zako maishani zimesababishwa na Wakristo?Jinga kweli!😁😁😁
 
Hawana hoja hawa.
Kwamba kwasababu hukupinga mikataba mibovu ilotangulia, then unakosa uhalali wa kupinga mikataba wowote mbovu???.......... Hii ni dalili ya mtu asiyejifunza kutoka a na makosa yake.
Matendo yetu ya nyuma, hu shape matendo yetu ya baadaye.
 
Hili laweza kuwa wale wale Walafi wa Rasilimali za Umma walio ndani ya Serikali wameandaa huu Waraka Mchongo na Kisha kuwapatia hawa jamaa watoe kama tamko lao.
 
Nilifikiri Answar Sunna wanavaa suruali fupi kwa makosa, kumbe wanastahili kwa kuwa suriali fupi zinawakilisha ufupi wa akili zao. Nonsense tupu kwenye hilo takko
 
Kwani wenyewe hoja yao ni mkataba kuvunjwa which hicho kitu hakiwezekani. Kama maboresho walishajibiwa yatafanyika.Hoja zao ni maoni kama maoni ya wengine sio masharti
Hakiwezekani kivip wakati mkataba unatuumiza sisi hayo marekebisho yaliyofanyika yako wapi bwana mwinyi?
 
Sisi hatuangalii wametoa mara ngapi au vipi. Tunaangalia wameelezea nini na wanataka nini na kwa lengo gani ?

Hata wakiwa wanaandika Waraka kila siku, hii si hoja.

Wakristo jifunzeni kujenga hoja. Kwenye kujenga hoja bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…