The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
- #381
Hiyo Katiba Mpya itakuletea chakula mezani?Watu wasiokuwa na elimu uwezo wao wa kufikiri ni ndogo na ndo wanatuchelewesha kupata katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Katiba Mpya itakuletea chakula mezani?Watu wasiokuwa na elimu uwezo wao wa kufikiri ni ndogo na ndo wanatuchelewesha kupata katiba mpya
Hawajasoma mkataba wala hawajasoma waraka wa TEC, kwahiyo hawawezi kunukuu kifungu chochote. Wao wanchojua tu TEC wamepinga mkataba wa DP worldMtu anaunga nmkono mkataba lakini hana ubavu wa kunukuu hata kifungu kimoja cha mkataba ili kujenga hoja ya kuukubali!! Hebu tupeni CV yake huyu!! Tusije tukamhukumu kumbe tukawa tumemwonea kwa mujibu wa elimu yake!!
TEC wametoa maoni yaoHii nchi sio ya kikristo kwa Tec muwe kwanza mnaelewa hili mnapoa toa ushauri muwe kwanza mnafikiria na sio kila mnalotaka ni lazima lifanyike mamlaka yenu yanaishia huko kanisani tu
Japo kuwa makataba una mapungu lakn na unatakiwa urekebishwe na nyinyi Wakristo mna mapungufu mambo ya viongozi wa dini kuingilia kazi serikali sio nzuri mnazalisha tatizo kwa ufinyu wa akili zenu na zilivyokuwa na matope hamlioni hili tatizo tukiendekeza sana viongozi wa dini mwisho watupanda vichwani wakati kuna serikali
Ya Mungu mpeni Mungu na Ya kaisari mpeni kaisari
Hayo maoni hayawezi kusaidia sana sana yanaongeza migogoro inatakiwa kutafutwe suluhisho la kudumu vipi kama mkataba usingevuja wangetuoa maoni wapiTEC wametoa maoni yao
Hapo namuona Prof Assad na huwa hana mambo udiniUkitaka kujua brain zao halisi muangalie Prof Nguli na former CAG prof Assad au the Fullbright professor ambaye rekodi yake UDSM haijawahi kuvunjwa Prof Lipumba..bado sijamtaja Dr Dau one of the very bright former student pale UDSM ... ndo utajua wakoje...
Hahaha! Wewe mchokozi.Only 3 out of 20 Millions!!??
Kuna msemo kwamba 'nyoka huuma afikiapo'. Yaani, they can't go beyond that."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa."...Heee what a stupid remark.
"BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa."...Heee what a stupid remark.
Jibu hoja za TEC sio kuwashambulia TECMtaishia kutukana tu
Jibu hoja za TEC sio kuwashambulia TEC
Kuna msemo kwamba 'nyoka huuma afikiapo'. Yaani, they can't go beyond that.
Hapo ndiyo utajua kama wamevaa barghashia au ni kapelo tu!😂😂😂😂Inashangaza sana.
TEC wametoa tamko na kuweka bayana hoja na mtazamo wao.
Wenyewe wabawajibu TEC badala ya kutoa mtazamo wao
Kwa hiyo wewe shida zako maishani zimesababishwa na Wakristo?Jinga kweli!😁😁😁Katika suala la DP world ndio limekuja kuonyesha asilimia kubwa ya Wakristo hawana akili
Mimi nilitegemea hapa ndipo pa kuibana seriakali ibadilishe katiba kwa kiongozi kuhusu suala la mikataba yaan mikataba inabidi iye ya wazi na pia kiongozi atakaeingia mkataba mbovu inabidi ashtakiwe na afungwe na apokonywe mali zake
Jaribu kufikiria jambo moja kama katiba ipo hivi inamaana mikataba isipovujishwa tutakuwa hatujui na wataendelea kuingia mikataba mibovu na Pia viongozi wa dini endapo hawajiona je watatoa waraka saa ngapi na mpaka lini viongozi wa dini watatuwa wanatusemea wakati uwezo wa kubadilisha katiba tunao ili tuwape adhabu viongozi wa serikali wasiokuwa na uaminifu
Ili la DP World pia limekuja kuonyesha Wakristo wengi hawana uwezo wa kufikiria wanafikiria hapa na hawafikiri na kesho maana kama unafikiria kesho unatakiwa ujiulize kama siku mkatba isipovujishwa kama wa DP je tutajuaje mapungufu ya mkataba na je tuweke kitu gani kukomesha hili
Elimu zenu mlizosoma ni za kupata kazi ili muendeshe maisha yenu msijifanye mnaa akili sana kama mngekuwa na akili sana maraisi Wakristo wamepita wengi ila nchi ipo vile vile
wee umeuona nchi gani kuna serikali halafu eti viongozi wa dini wanatoa muongozo jinsi ya kuendesha serikali hii akili au matope na hii inatokea kwa nchi yenye mazuzu wengi kama Tanzania tu
Katiba kama China hapo ukiiba seriakli unanyongwa au kufungwa jela kwanini na sisi tusiweke katiba kama hii kuliko kutegemea viongozi wa dini na tutawategemea mpk lini Badilikeni hatutaki viongozi wa dini kuiongoza serikali
"YA MUNGU MPENI MUNGU NA YA KAISARI MPENI KAISARI" Marko 12:17
Hawana hoja hawa.Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa.
Nilifikiri Answar Sunna wanavaa suruali fupi kwa makosa, kumbe wanastahili kwa kuwa suriali fupi zinawakilisha ufupi wa akili zao. Nonsense tupu kwenye hilo takkoTamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) likielezea kuhusu makubaliano ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari."BASUTA haturidhishwi na 'undumilakuwili' na ukosefu wa uadilifu wa wapingaji wa mkataba ambao walifumbia macho mikataba mingi ya hovyo huko nyuma katika sekta mbalimbali ikiwemo madini na hawakutaka ifutwe lakini wako tayari kwa gharama yoyote kuhakikisha mkataba huu unafutwa na unakufa.
Hakiwezekani kivip wakati mkataba unatuumiza sisi hayo marekebisho yaliyofanyika yako wapi bwana mwinyi?Kwani wenyewe hoja yao ni mkataba kuvunjwa which hicho kitu hakiwezekani. Kama maboresho walishajibiwa yatafanyika.Hoja zao ni maoni kama maoni ya wengine sio masharti
Sisi hatuangalii wametoa mara ngapi au vipi. Tunaangalia wameelezea nini na wanataka nini na kwa lengo gani ?Maana yake ikiwa ni nini? Kwani ni mwaka huu tu TEC wameanza kutoa awaraka? Si kila mara wanasema wanachoamua kukisema? Kwao hao wanajifanya wanakemea unafiki, ni TEC tu ndio wameona ni wanafiki? Sasa kila atakayekuwa anachangia kitu aanze kushambuliwa itasaidia nini? Bure kabisa!