Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

UJUHA😕😕😕😕😕😕😕😕
 
Mbona umepost huu ujinga nusu nusu . Ngoja nikusaidie kuuleta hapa wote.
 
Mbona umepost huu ujinga nusu nusu . Ngoja nikusaidie kuuleta hapa wote.
View attachment 2727574View attachment 2727575View attachment 2727576View attachment 2727577
Hoja za TEC ambazo hawakubaliani nazo ziko wapi? Argument should be based on facts. Nachoona ni personal attack towards TEC.
Hao jamaa Basuta nahisi wameishia wote darasa la pili
 
Basi hapa ndio unajibu hoja za dp world 😂😂😂😂😂🚮🚮
Hapa sijaongelea mkataba kwani hapo juu mm nimeongelea mkatba kumbe hata kusoma haujanisoma na kama umenisoma basi hujanielewa soma tena hoja yangu vizuri usiwe unakurupuka
Hoja yangu mm nawacheka nyie wakristo kujifanya mnaakili kushinda wenzenu kumbe na nyie mna ujinga ujinga wa maisha ajabu mnawacheka wengine
 
Hawa ndo TEC sasa, akili kubwa, Waarabu walifundisha uchawi matokeo yakr ndo haya Wavaa kobazi!!!
 

Attachments

  • VID-20230824-WA0003.mp4
    8.2 MB
Acha
 
Hawa ndo TEC sasa, akili kubwa, Waarabu walifundisha uchawi matokeo yakr ndo haya Wavaa kobazi!!!
Akili kubwa Kiaje bwana,this is all about history ,hatuishi tena kwenye vifungo vya historia ila Tunajifunza kwao.

Hapa ni kwamba Wazungu walitafuta mtu mjanja mjanja Kwa mbinu zao na wakamtanguliza Nyerere.

Na ndio walikuwa wanamsaidia kwenye ujasusi nk.
 
Elimu Elimu Elimu. Hii kitu inatukomboa na mambo mengi hususani kama haya ambayo yanahitaji pengine mtu aliyekwenda shule kuweza kutafsiri baadhi ya Sheria au mambo Fulani.
Unahisi Elimu ya madrasa pekee itaweza kutafasiri Sheria kama SHERIA?

Think out Loud🤔
 
Wanakera kujifanya wao wana akili kuliko wenzao wakati hii nchi aliwahi kuongoza raisi mkatoliki akafanya madudu kwa mikataba mibovu alibinafsisha vitu vingi miaka 2003 lkn mbona walikuwa kimya hawakutoa waraka wa kupinga na nchi yetu mbona hatukuwa na maisha mazuri ikiwa wao wana akili badala yake maisha yale yale tu

soma coments zao wakristo wengi uone wanavyojiona bora kumbe wana ujinga wa milele kichwani Mkataba ni mbovu unatakiwq urekebishwe lakni hatutaki viongozi wa dini kuingilia serikali ya mungu mpeni mungu na ya kaisari mpeni kaisari hao mapadri wanafki watulie tu
 
Huu waraka ndio unawakilisha brain halisi za waislam.

Bado kesho watashangaa na kuulizana kwa nini wenzetu upande wa pili wanachosema kinakuwa na nguvu!?
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye waroga?
 
Small brains akili hazitoshi hata kuvukia barabara.
Upeo unaishia kwenye tende na harua.
Msipojua kuongoza lazima akili kubwa ziwaongoze.
Mngekuwa akili kubwa mngeongoza nyie nchi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…